killing machine11
New Member
- Jun 10, 2025
- 2
- 2
Kuna msanii wa hapa kwetu Tanzania Alisha wai kusema maisha Yana ubongo wake
Sasa ndugu yangu Kama wewe sio mtu wa kuchunguza Mambo unaweza mwona aliandika hivyo au kuimba hivyo ili tu kuvi weka sawa vina vyake
au ili kuufanya ujumbe uifikie jamii kwa usahihi lakini sivyo.
Kiukweli maisha yanaishi yanaona na Yana skia na Yana jibu na kutoa msaada pale unapo hitajika
Maisha yanajiendesha hayaendeshwi na hata ukiyaendesha Basi mwisho wake ni mbaya Sana unaweza kuwa aibu kubwa ulemavu au kifo
Hebu fikilia unamfanyia mtu ubaya leo Cha ajabu mtu yule yule ndiye mtu pekee anaye weza kuku saidia juu ya shida yako dakika kadhaa mbele
Je Usha wai mtukana mtu kwenye daradara na mwisho ukajua yule mtu ni nduguyo baadae?
Je unadhani ni bahati mbaya?
Kwa mfano unaendesha gari Kati Kati ya safari yako unamkuta mtu anatembea bara barani akiwa amebeba kibegi mgongoni
Mtu huyo anakuomba rift una mkatalia Kisha hatua kadhaa mbele gali yako Ina pata tatizo na nikati Kati ya safari
Cha ajabu yule mtu uliye mnyima rift anakukuta pale pale japo ulimwacha nyuma kwa umbali mlefu na Cha kushangaza kumbe nifundi magari mzuli Sana anakuyengenezea gali yako unampa rift Kisha mnaanza wote safari una Baki ume duwaa
Je unadhani hiyo ni bahati mbaya?
Unaweza kwenda bar kunywa ukamtukana matusi yoote bar maid anaye kuhudumia lakini kesho na kesho kutwa akawa ndiyo mkeo nawatoto akaku zalia na maisha yakasonga
Je unadhani hiyo ni bahati mbaya?
Maisha Yana ubongo mkuu dunia imeumbwa ikamalizika hakuna kitu mungu aliacha
Kwenye maisha walio chukiana Sana Kuna kipindi wakaja kupendana Sana
Walio windana Sana kunakipindi walikuja kulindana Sana/friends
Maisha yameumbwa kinyume nyume
Siku unashida na pesa huwezi pata pesa Ila siku huna shida nazo hizi hapa..
so usiumize Sana kichwa Mambo yakigoma
Maisha mtihani mkuu wakati mwingine samehe hata Kama haujaombwa msamaha sio ujinga ni uelewa na ndiyo ukubwa
Usha wai kushuhudia kwamba ndoa ambazo wanandoa waligombana sana ndizo zilizo dumu Sana?
Na zile ambazo waliishi Kama maraika hazikudumu kabisa?.
Je unadhani ilikuwa bahati mbaya?
Tajiri pamoja nakuwa na magari mengi lakini anaye ya faidi magari hayo ni driver wake kwani ndiye anaye julikana mitaani kuwa ndiye mwenye magari hayo
Mwanaume pamoja na kuwa na nyumba mzuli lakini anaye ufaidi uzuri wa nyumba ni mke wake kwani ndiye ashindaye nyumbani
Hasira ni ulinzi..
Na Kama huna hasira huna ulinzi lakini hasira ikitumika vibaya ni ni siraha ya uharibifu
Kwenye maisha Kuna hasara za kuwai na faida za kuchelewa
na Kuna faida za kukosa na hasara za kupata r.i.p jpm Ange kosa angekuwepo mpaka leo
Na Kuna faida za kutoswa na hasara za kupendwa so ukikataliwa ni jambo la hero pia usiumie
Maisha ni zaidi ya maisha mkuu
Kwenye maisha Kunawatu wanalichukia jua na Kuna watu wanalipenda Giza, usiulize kwanini mungu HAKUWA MJINGA kuweka kiza na Nuru
Wanasema utajiri ni Siri lakini hiyo hiyo Siri ndiyo inayo watesa matajiri
Wanasema mapenzi.pesa lakini hiyo hiyo pesa ndiyo inayo haribu mapenzi.
Muulize kajara na wema sepetu wata kuambia ukweli huu
Wanasema duniani tuna pita vyote tutaviacha mh.
Sasa wewe kaa usijenge hata kachumba sebure uone utakavyo ishi siku nyingi kwenye dunia hii na huna pa kulala
Usiumiize kichwa Sana kuhusu maisha fanya kwa kiwango chako/vile unavyo weza usiyo yaweza yaachie maisha yenyewe yata kuwezea
Maisha mazuli ni....
1) uwe nauwezo wa kula maratatu kwa siku chakula unacho kitaka
2)Uwe na uwezo wa kuvaa nguo unazo taka
3)Uwe na mahali pa kulala au nyumba/ya kwako
4) uwe na family
Hayo mengine ni ubatiri
Mshukuru mungu kwa kila jambo ili ukikuze kiwango Cha fraha yako