ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
Shetani aliwapitia nini ???Tuliwazoea mbona, mm nimeishi semester zote rafiki zangu walikuwa na madem zao. Na semesfer moja tulipangwa na mdada mmoja ,sie tupo wawili na mschana mmoja akaletwa ki makosa room kwetu, hatukumgonga ila aligoma kuhama tukaishi naye semester nzima.