Judah Tribe
Senior Member
- Sep 1, 2024
- 159
- 594
Karibu SANA Jimboni limpopo katika municipal ya polokwane (pietersburg) ni mji mzuri sana watu wengi wanafanya matendo ya kumpendeza Yesu yani matendo matakatifu kama lilivyo Jina lake polokwane (sanctuary) utakatifu
Wengi watajiuliza limpopo ni nini? Limpopo ni jimbo lililo magharibi mwa south Africa mji wake mkuu ukiwa ni polokwane
Tuendelee, hakuna mji wenye utulivu kwa mtu anae jitafuta kama polokwane ulio katika jimbo la limpopo hasa yule anae jitafuta katika kazi halali.
Kuhusu mbususu mtanisamehe maana mimi sio mfuatiliaji Sana ila zitakuwepo lazima kwa hiyo jipange kupata HIV AIDS
Kazi za huku za kukuuingizia pesa chap chap, unaweza kuchoma nyama barabarani, au kufungua kiduka, au kama unajua fundi mfano wa Tiles, welding, etc
Uhalifu sio Sana ukilinganisha na miji mikubwa kama Joburg mji huu wa polokwane ni utulivu tu na ndio maana nasema hakuna mji ulio Tulia Kama polokwane ulio katika jimbo la limpopo karibu Sana kwa mgeni unae jitafuta.
Kuhusu kufika huku nitapendekeza mtu uwe na vibali vyote japo Wapo wanao ishi Bila vibali ila naona sio ishu.
Na kikubwa ninacho sisitiza mara ya pili ni vema unapo kuja kama huna mtaji Basi uwe na ujuzi wowote kama nilivyo eleza hapo juu mfano kugonga maru maru,kuchomelea,kupiga plasta, nk
KARIBU SANA LIMPOPO KATIKA MUNICIPAL YA POLOKWANE PESA IPO UKIITAFUTA KWA HALALI🙏