Hawezi kukujibu. Maana akijibu tu, na yeye ataitwa Kafir. Yupo radhi aseme uongo kuliko kukujibu swali lako lililo enda shule.
Afu mama wa Mungu wa wakristo Mariyam kafa, sa vipi Mungu wa wakristo akubali mama yake kufa? Si angeweza kumzuia akabaki hai kama yeye ni Mungu hahaha.
Tatizo lenu mkijibiwa mnanza kujidai hamuoni sa kama si walevi mtakuwa kina nani, wavuta bangi. Hivi hujaona hapo juu jibu.Kama huna jibu si useme tu?
Nilichokuuliza ni kitu rahisi kabisa,kimsingi kuna sababu huyo akaitwa masihi fake,mimi ndio nataka kujua hiyo sababu ni nini,badala ya kunijibu umekuja na kuniita mlevi,kama kuuliza maswali ni ulevi sawa!
Alaa kumbe mna dini nyie, dini gani hata Mungu hamumjui. Wakristo wote wanamuabudu binadamu sio Mungu, wamemsahau Mungu wao wako Jesus, Jesus, Jesus sa kama Jesus ni Mungu simgemuita God bila kutaja jina lake. Mashetani wakubwa nyie. Tena wacheni kabisa ujinga wakusema Allah sio Mungu, msidhani Allah ni binadamu.heshimu dini za wenzio kuwa mwangalifu
Afu mama wa Mungu wa wakristo Mariyam kafa, sa vipi Mungu wa wakristo akubali mama yake kufa? Si angeweza kumzuia akabaki hai kama yeye ni Mungu hahaha.
Kweli mana napoteza time zangu kuwafahamisha yule mnaye muabudu yeye si Mungu ni binadamu, yeye mwenyewe alikuwa anamuabudu Mungu. Tunawambia sisi Jesus tunamheshimu kuliko wao sababu hatujawahi kumzulia uwongo wanabisha, kweli nguruwe ukimla lazima akili ipotee tu kwa uchafu.wafuasi wa wagalatia wameathirika na virus vya kitimoto hata uwaelimishe vipi hawatakuelewa, si unajua mdudu yule alivyo mchafu.
Biblia ni kitabu ambacho kina utaratibu wake wa kukisoma ili ukielewe
Quran nacho ni kitabu ambacho kina utaratibu wake wa kukisoma ili ukielewe
Ukichukua utaratibu wa kusoma Quran na ukaupeleka kwenye Biblia na ukataka uelewe ni lazima utakwama tu
Kwenye Biblia Yesu anaitwa mkombozi wa Ulimwengu
Kwenye Quran hajulikani hivyo,huo ni ukweli
Nikitaka kulazimisha Q uran iseme kinyume na hapo nitakuwa mwendawazimu and vise versa!
Wanashangaza sana. Ingawa wanafahamu fika kuwa mtume wao alikuwa mlevi na ushaidi upo. Hata Allah wao anasema na kuwaambia. Eti ulevi ni haram Msikitini. Kumbe ukiwa nje ya msikiti kunywa kileo ni halal!Mkuu nimeitwa mlevi kwa kuuliza hilo swali ......
Hawa watu ni wa ajabu sana!
Achana na hoja za kishabiki na zisizo na tija, Kumbuka Wakristo tunafahamu nani alikuwa mlevi. Lakini hatupo hapa katika shari bali ni kutoa khutbah kwenu.Nimeisha mjibu hakuna sehemu sijamjibu labda yeye ni mlevi hafahamu tu. Labda nimsaidie tena sababu ya kuitwa Massih wa uwongo, kama hakufahamu kule Nampa tena dozi hii. Sababu ya kuitwa Massih wa uwongo ni sababu Massih Dijjal atafanya mambo Mengi sana ya ajabu kama Massih Issa ibn Maryam. Mfano wake atasema njoo mvua na itakuja, atamkata mtu nusu na atamrudisha tena kwenye uhai. Sa kitu gani tena anataka aseme kama sijamjibu.
Yesu alikunywa Mvinyo pia usisahau; Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kumbe Mungu wenu alikuwa mlevi sa kama Mungu wenu mlevi nadhani bora mtafute Mungu asiye lewa.
Matthew 11:19 The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and sinners.' But wisdom is proved right by her deeds."
Matthew 9:10 As Jesus went on from there, He saw a man called Matthew, sitting in the tax collector's booth; and He said to him, "Follow Me!" And he got up and followed Him. 10Then it happened that as Jesus was reclining at the table in the house, behold, many tax collectors and sinners came and were dining with Jesus and His disciples
ALLAH AWARUHU WAISLAMU KULA KITI MOTO NA KUNYWA POMBE!!!!Yesu alikunywa Mvinyo pia usisahau; Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kumbe Mungu wenu alikuwa mlevi sa kama Mungu wenu mlevi nadhani bora mtafute Mungu asiye lewa.
Matthew 11:19 The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and sinners.' But wisdom is proved right by her deeds."
Matthew 9:10 As Jesus went on from there, He saw a man called Matthew, sitting in the tax collector's booth; and He said to him, "Follow Me!" And he got up and followed Him. 10Then it happened that as Jesus was reclining at the table in the house, behold, many tax collectors and sinners came and were dining with Jesus and His disciples
Did God Speak Directly To Jesus? He communicated with him through indirect speech. Only a man like Moses can speak to God. The Quran says what means:
{Allah talked to Moses.} (An-Nisaa' 4:164)
Or He communicated with them through indirect speech (revelation), like in the case of our Prophet Muhammad (peace be upon him). The Quran says:
{And unto you have We revealed the Scripture (Quran) with the truth confirming whatever Scripture was before it, and a watcher over it.} (Al-Ma'idah5:48)
Unaanza kuogopa mapema hii.Sa Jabril ni mtu au malaika?
Jesus is God, so your question is assuming His deity and is fallacious
The Bible is not that big. Unless you tell me you are a lazy creature and you can't read.Leta andiko lisemalo Yesu ni Mungu.
Mnatafuta hadith za kumchafua mtume lakini mtafail tu, FYI; Mtume Muhammad hata kabla ya kusilimu wala hakuwahi kunywa hata pombe hizo ni kelele za wajinga tu kutaka kumzulia uwongo.Achana na hoja za kishabiki na zisizo na tija, Kumbuka Wakristo tunafahamu nani alikuwa mlevi. Lakini hatupo hapa katika shari bali ni kutoa khutbah kwenu.
Burudika na hii Sahih Hadith
MTUME MUHAMMAD ALEWA CHAKALII
==================================
Sahihi Muslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtume wa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basi yule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: Lete Mvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa ule Mvinyo Mkali alilewa"
Sahihi Muslim 3721'' Mtume wa Allah alikuwa anapenda kunywa Pombe kwa kutumia Bakuli ….''
The Bible is not that big. Unless you tell me you are a lazy creature and you can't read.