Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Yohana 8: 40.
'Lakini sasa, mnatafuta kuniua MIMI MTU ambaye nimewambia iliyokwel.'

Acha kumzulia.
Mwenyewe anasema yeye ni mtu sio Mungu.

Leta andiko wapi Yesu kasema yeye ni Mungu?

Even Allah said he is a King like Mswati. Grow up. (He is Allah, beside Whom La ilaha illa Huwa, the King, the Holy, the One free from all defects) (59:23).

Is Allah a King or God?
 
Mnatafuta hadith za kumchafua mtume lakini mtafail tu, FYI; Mtume Muhammad hata kabla ya kusilimu wala hakuwahi kunywa hata pombe hizo ni kelele za wajinga tu kutaka kumzulia uwongo.
Tangu utotoni mwake, mtume Muhammad (s.a.w.) alisifika kwa kila sifa nzuri zilizobainishwa katika Qur'an. Bibi Aisha (r.a.) alipoulizwa juu ya tabia ya Mtume (s.a.w.) alijibu kuwa tabia yake ni Qur'an yaani amejipamba na vipengele vyote vya tabia njema vilivyobainishwa katika Qur'an tangu utotoni mwake. Qur'an yenyewe miongoni mwa aya zake za mwanzo mwanzo kushuka, inamsifu Mtume (s.a.w.) kwa tabia yake tukufu: Sikia Mungu anasema nini kwenye Qur'an(68:4) Na bila shaka unatabia njema kabisa"
It is from you guys and has nothing to do with me.

That is why I told you, ACHANA NA USHABIKI Maana I can do it better than you tena kwa kutumia vitabu vyenu.

KUMBE ALIYEANDIKA QURAN ALIKUWA NA SHETANI?

Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.

Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali.

(Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
SAYYIDNA ABUBAKAR, Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)

SASA KAMA KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI,KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI
 
Even Allah said he is a King like Mswati. Grow up. (He is Allah, beside Whom La ilaha illa Huwa, the King, the Holy, the One free from all defects) (59:23).

Is Allah a King or God?

Safi sana kutumia counter attack, still hapa hatushindani.

Itakubidi ujibu nilichokuuliza then uulize maswali yako. Hata usifanye pupa, jibu moja na uulize moja, nami nitakujibu moja na kuendelea na nilichokuuliza. Huo ndio utaratibu wa wasomi, hapa hatupo sokoni kana kwamba kila mtu anarusha tu maneno bila mpangilio.

Hope you understand.

Kama andiko limekushinda toa hata maelezo. Ni vipi Yesu ni Mungu na ni vipi anakuwa Mtu?
 
Is your Allah a King or God. You are not answering my question impeccably.
 
Mimi nakujibu.
Allah anamajina 99, Al maalik ni moja kati ya majina hayo.

Ameitwa Mfalme kwani yeye Muumba wa dunia.

Hata kama bado unaswali kuhusu maelezo yangu hayo. Uliza.

Ila nami unijibu kale kaswali kangu. Kama umesahau nakukumbusha.

Ni vipi Yesu ni Mungu na kivipi anakuwa Mtu?
 
Those are for what?

Kings are not involved in creations. You are wrong.

Why is Allah called King? Allah hana wa kufanana naye. You should remember.

That is why I asked you, why do you like to be spoonfed? Read Revelation 21:7.

Jesus is God incarnate. Kama hujui maana ya incarnate just ask.
 
Hahahahaaa!
Hapana Eiyer, mimi sijakariri, istoshe bible ni kitabu chenye maneno ya mitume yetu Issa na Mussa ingawa kuna wadau walikichakachua na kuingiza maelezo ya uongo ktk kile kitabu!
Uzuri ni kwamba uongo huo unapingwa na vifungu vya bible ile ile bila hata kutumia Quran.

Nimefanya karesearch kafupi kwa kile kitabu na nimepata kitu cha kushare nawe/nanyi.

Kama unahisi hauko sawa na vifungu vya bible waweza niitia hata mkuu wa chuo au yeyote yule.
1;Kwenye Biblia hakuna Issa kuna Yesu,na Yesu sio Isa
2;Leta ushahidi wa madai yako kuwa imechakachuliwa!
 
Those are for what?

Kings are not involved in creations. You are wrong.

Why is Allah called King? Allah hana wa kufanana naye. You should remember.

That is why I asked you, why do you like to be spoonfed? Read Revelation 21:7.

Jesus is God incarnate. Kama hujui maana ya incarnate just ask.

Safi sana!
At least umeelewa, Mungu akujaalie hivyo hivyo.

Ila acha vineno neno. Kama nawe sio spoonfeed mbona hutafuti mwenyewe badala yake waniuliza whether Allah is God or king???

NAKUJIBU MASWALI YAKO.

Allah aliposema hana wa kufanana nae anamaana kwamba huwezi kumpoint mtu au yoyote na kusema anafanana na Mungu.

Mfalme ni mwenye mamlaka. Na sifa hiyo Mungu anayo.

Embu angalia Malayo 6: 9-13.

Yeye ndie mwenye ufalme.
Istoshe katika hayo majina 99 mengi yanasifa za watu. Ukiambia 1 + 1 ni 2, haimanishi kila 1 itakuwa 2.

TUENDELEE NILIPOKUULIZA.

Hilo neno hapo sijui maana yake ni nini! We niambie tu.

Ile aya uliyoniambia nitafute, inasema hivi:

Ufunuo wa
Yohana 21 : 7
21.7 Yeyote
atakayeshinda
atapokea hiki, nami
nitakuwa Mungu
wake, naye atakuwa
mwanangu.

Mpaka hapo unakubali Yesu ni Mtoto wa Mungu.

Naomba ufafanue.
Yesu ni Mungu au ni Mtoto wa Mungu?

Na jee kwanini Yohana 8: 40 Yesu anasema yeye ni Mtu?

Jee unaamini yote yaliyomo ktk bible au unaamini nusu yake tu?

Maana hapo 8 40 ni maneno ya Yesu na ukifungua 11: 9 Hosea, Mungu anasema hivi:

Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumwangamiza Ibrahim, kwa maana MIMI NI MUNGU, SI MWANADAMU MIMI.

Yesu anasema yeye mtu, Mungu anasema yeye si mwanadamu.

Embu Ishmael nipe somo, ni vipi Yesu anakuwa Mungu na ni vipi anakuwa mtu?
Na kama Yesu nae ni Mungu niambie kuna Miungu mingapi?
 
Mungu anaweza kuwa mtu au hawezi?

Hapa tazama Mungu anavyosema;

Mika 1:2-32 Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu
3 Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.

Ukishajibu swali langu hapo juu soma hapo halafu uniambie ni nani huyo anaezungumziwa hapo!
 
1;Kwenye Biblia hakuna Issa kuna Yesu,na Yesu sio Isa
2;Leta ushahidi wa madai yako kuwa imechakachuliwa!

Safi sana.
Ushahidi unapatikana ktk bible hiyo hiyo.

Uchakachuzi ni mwingi. Nitakuekea namba uchagua moja tujadili, then utachagua nyengine. Utaweka andiko kama unalo ili kusapoti madai yako.

Naomba nawe uwe unajibu maswali nitakayokuuliza.

1 Yesu si Mungu.

2 Hajaletwa alaaniwe/aangamizwe ili mpate uokovu.

3 amtegemeae Yesu badala ya Mungu- atakwenda motoni.

4 Nguruwe ni najisi na walaji wa nguruwe - motoni.

5 Waimba kwaya wote - motoni.

6 Yesu alikuwa muislam na ni muislamu na ndie Issa.
...
Chagua no: kama unapinga pinga kwa andiko ili tusimsingizie uongo Mungu na Yesu.

Go ahead...
 
Safi sana!
At least umeelewa, Mungu akujaalie hivyo hivyo.

Ila acha vineno neno. Kama nawe sio spoonfeed mbona hutafuti mwenyewe badala yake waniuliza whether Allah is God or king???
I asked you prior to applying such words? How big is the Bible to the point you can not find what you are looking for?
You never answered me on that.

NAKUJIBU MASWALI YAKO.

Allah aliposema hana wa kufanana nae anamaana kwamba huwezi kumpoint mtu au yoyote na kusema anafanana na Mungu.

Mfalme ni mwenye mamlaka. Na sifa hiyo Mungu anayo.
Allahhas arms, legs and ears but the idols do not have them.
Fromthe previous discussions, we should have very little doubt aboutthis. Muhammad's Allah, does indeed take after a human being. SinceAllah looks like a human being, it then follows logically that Allahmust have all the physical features of a human being.

Thus,in the Qur'an we read that Allah has eyes and ears…(42:11).
042.011
YUSUFALI: (Heis) the Creator of the heavens and the earth: He has made for youpairs from among yourselves, and pairs among cattle: by this meansdoes He multiply you: there is nothing whatever like unto Him, and Heis the One that hears and sees (all things).

Allahhas hands; He created Adam with His own hands…(38:75, 48:10).
038.075
YUSUFALI: (Allah)said: "O Iblis! What prevents thee from prostrating thyself toone whom I have created with my hands? Art thou haughty? Or art thouone of the high (and mighty) ones?"
048.010
YUSUFALI: Verilythose who plight their fealty to thee do no less than plight theirfealty to Allah: the Hand of Allah is over their hands: then any onewho violates his oath, does so to the harm of his own soul, and anyone who fulfils what he has covenanted with Allah,- Allah will soongrant him a great Reward.

Embu angalia Malayo 6: 9-13.

What book is that?

Yeye ndie mwenye ufalme.
Istoshe katika hayo majina 99 mengi yanasifa za watu. Ukiambia 1 + 1 ni 2, haimanishi kila 1 itakuwa 2.
Why is he comparing himself with people and using humans attributes?

TUENDELEE NILIPOKUULIZA.

Hilo neno hapo sijui maana yake ni nini! We niambie tu.
Allah has comparison and I just proved to you.

Ile aya uliyoniambia nitafute, inasema hivi:

Ufunuo wa
Yohana 21 : 7
21.7 Yeyote
atakayeshinda
atapokea hiki, nami
nitakuwa Mungu
wake
, naye atakuwa
mwanangu.
Why is Jesus saying, I will be their God if Jesus is not God?

Mpaka hapo unakubali Yesu ni Mtoto wa Mungu.

Naomba ufafanue.
Yesu ni Mungu au ni Mtoto wa Mungu?
You are out of context and failed to comprehend the infallible word, to wit

Na jee kwanini Yohana 8: 40 Yesu anasema yeye ni Mtu?
I asked you, what is the meaning of "INCARNATE"? Learn to answer.

Jee unaamini yote yaliyomo ktk bible au unaamini nusu yake tu?
So, Allah is a King and not God. Why do I have to follow a person who has eyes, legs and a King? Answer my question.

Maana hapo 8 40 ni maneno ya Yesu na ukifungua 11: 9 Hosea, Mungu anasema hivi:
Jesus has two natures. That is why Allah can not be God because Allah is limited in ability and power. If Allah is all powerful, why is he surprised that God can actually wear a human body? Allah is not God and is not akbar.

Sitatumia ukali wa hasira yangu, sitarudi kumwangamiza Ibrahim, kwa maana MIMI NI MUNGU, SI MWANADAMU MIMI.
Still you are not supporting your claims that Allah is God.

Yesu anasema yeye mtu, Mungu anasema yeye si mwanadamu.

Allah said he is a king. That mean Allah is not God since Allah has no comparison.

Embu Ishmael nipe somo, ni vipi Yesu anakuwa Mungu na ni vipi anakuwa mtu?
Na kama Yesu nae ni Mungu niambie kuna Miungu mingapi?
Because He is God the Creator of your ALLAH, Muhammad, et al.

[h=1]Isaiah 9:6-7[/h]6 For unto us a Child is born,
Unto us a Son is given;
And the government will be upon His shoulder.
And His name will be called
Wonderful, Counselor, Mighty God,
Everlasting Father, Prince of Peace.

Who is that Child?
 
Mungu anaweza kuwa mtu au hawezi?

Hapa tazama Mungu anavyosema;

Mika 1:2-32 Sikilizeni, enyi watu wa kabila zote; sikiliza, Ee dunia, na vyote vilivyomo; Bwana MUNGU na ashuhudie juu yenu, yeye Bwana kutoka hekalu lake takatifu
3 Kwa maana, angalieni, Bwana anakuja akitoka mahali pake, naye atashuka, na kupakanyaga mahali pa dunia palipoinuka.

Ukishajibu swali langu hapo juu soma hapo halafu uniambie ni nani huyo anaezungumziwa hapo!
Allah hana huo uwezo kwasababu Allah is limited in power and ability. Only God of the Bible who is Omnipotent can. Allah is not Omnipotent
 
Sasa jibu likowapi?
Nguruwe zimekudhuru mpaa huoni, akili zimesha kuwa matope tu. Ungekuwa una akili sawa sawa ungesema Mungu kazaliwa na binadamu, kabla ya Mariamu kulikuwa hakuna Mungu au?
 
It is from you guys and has nothing to do with me.

That is why I told you, ACHANA NA USHABIKI Maana I can do it better than you tena kwa kutumia vitabu vyenu.

KUMBE ALIYEANDIKA QURAN ALIKUWA NA SHETANI?

Mtu wa Awali, aliyejifundisha kusoma na kuandika katika Mji wa Makka alikuwa Bwana Harb bin Umayya-babu yake Bwana Muawiya. Alijifunza kwa watu wa Yaman, na yeye akaja kuwafundisha waliotaka katika mji wa Makka.

Wakati Mtume alipopata utume walikuwako watu 6 tu katika Makka waliokuwa wakijiua kuandika. Wa 4 katika yao waliingia katika Uislamu, wakawa ndiyo waandikaji "Wahyi" (aya za Qur'an), watu hao walikuwa ni Sayyidna Abubakar. Sayydna Umar, Sayyidna Uthman na Sayyidna Ali.

(Kitabu cha Maisha ya Nabii Muhammad uk. 8,na Sheiky A.Falsy)
SAYYIDNA ABUBAKAR, Abubakar, Anasema: "Hakika mimi ninae shetani hunifikia mara kwa mara, basi wakati wowote atakaponifikia muniepuke" (Tabaqatul Kubra, J. 3 Uk. 212)

SASA KAMA KILIANDIKWA NA MTU ALIYEKUWA NA SHETANI,KWA NINI TUSIKUBALI KUWA NI AYA ZA SHETANI
If satan would have written the Qur’an, he would not have mentioned in the same Qur’an in Surah Nahl, chapter 16 verse no. 98"When thou does read The Qur’an, seek Allah’s protection from Satan the Rejected One." Is this how you feel satan would write a book? Does he tell you; "Before you read my book ask God to save you from me?"
There are several verses in the Qur’an which will give enough evidence that satan is not the author of the Qur’an. In Surah Al Aaraf chapter 7 verse 200 "If a suggestion from Satan assail your (mind), seek refuge with Allah; for He hears and knows (all things).
Why would satan tell his followers, that whenever he gives any suggestions to them, they should seek refuge in Allah (swt) to whom he is an avowed enemy.
When we read how Paul supposedly met Jesus we see that what Paul sees could very well be satan himself from the description we get in Corinthians, Ref; And no marvel; for Satan himself is transformed into an angel of light. (2 Corinthians 11:14) Huyo mtume wenu ndio kakutana na shetani ndio sababu alimsifia
 
Nguruwe zimekudhuru mpaa huoni, akili zimesha kuwa matope tu. Ungekuwa una akili sawa sawa ungesema Mungu kazaliwa na binadamu, kabla ya Mariamu kulikuwa hakuna Mungu au?
Please, let us use clean and better language.

Although it is hard if not impossible to support and defend Allah, but you have to deal with the empirical evidence you are receiving from Eiyer .

In the event you are tired of been frustrated by confrontation through your own books, I argue you to join the Winners Circle sometimes called TEAM JESUS.
 
Last edited by a moderator:

First of all, it is important to note that "Allah" is the same word that Arabic-speaking Christians and Jews use for God. If you pick up an Arabic Bible, you will see the word "Allah" being used where "God" is used in English. This is because "Allah" is the only word in the Arabic language equivalent to the English word "God" with a capital "G". Additionally, the word "Allah" cannot be made plural or given gender (i.e. masculine or feminine), which goes hand-in-hand with the Islamic concept of God. Because of this, and also because the Qur'an, which is the holy scripture of Muslims, was revealed in the Arabic language, some Muslims use the word "Allah" for "God", even when they are speaking other languages. This is not unique to the word "Allah", since many Muslims tend to use Arabic words when discussing Islamic issues, regardless of the language that they speak. This is because the universal teachings of Islam, even though they have been translated in every major language, have been preserved in the Arabic language

[TD="align: center"] Who is Allah [/TD]
Is there a verse in the Bible states that Jesus himself said to his people that he is God and must be worshipped
Please see the First of the Ten Commandments given to Moses. Read the Book of Deuteronomy, verse 4:

"Hear, O Israel: The Lord our God is one Lord"

The very same First Commandment is endorsed by Jesus in Mark:

[And one of the scribes came, and … asked him, Which is the first commandment of all? And Jesus answered him, The first of all the commandments is, Hear, O Israel; The Lord our God is one Lord:] (Mark 12:28-29, KJV)

We do not find Jesus making any amendment to the First Commandment to suggest that Jesus is God Himself, or God incarnate! Isn't it odd?

Allah hana huo uwezo kwasababu Allah is limited in power and ability. Only God of the Bible who is Omnipotent can. Allah is not Omnipotent
The Bible clearly teaches that Jesus is not God. In the Bible God is always someone else other than Jesus. Sa we Mungu wako ni yupi Jesus au Mungu wa waislam ambaye ni Mungu wa Yesu.
 
I asked you prior to applying such words? How big is the Bible to the point you can not find what you are looking for?
You never answered me on that.

Allahhas arms, legs and ears but the idols do not have them.
Fromthe previous discussions, we should have very little doubt aboutthis. Muhammad’s Allah, does indeed take after a human being. SinceAllah looks like a human being, it then follows logically that Allahmust have all the physical features of a human being.

Thus,in the Qur’an we read that Allah has eyes and ears…(42:11).
042.011
YUSUFALI: (Heis) the Creator of the heavens and the earth: He has made for youpairs from among yourselves, and pairs among cattle: by this meansdoes He multiply you: there is nothing whatever like unto Him, and Heis the One that hears and sees (all things).

Allahhas hands; He created Adam with His own hands…(38:75, 48:10).
038.075
YUSUFALI: (Allah)said: "O Iblis! What prevents thee from prostrating thyself toone whom I have created with my hands? Art thou haughty? Or art thouone of the high (and mighty) ones?"
048.010
YUSUFALI: Verilythose who plight their fealty to thee do no less than plight theirfealty to Allah: the Hand of Allah is over their hands: then any onewho violates his oath, does so to the harm of his own soul, and anyone who fulfils what he has covenanted with Allah,- Allah will soongrant him a great Reward.

What book is that?

Why is he comparing himself with people and using humans attributes?

Allah has comparison and I just proved to you.

Why is Jesus saying, I will be their God if Jesus is not God?

You are out of context and failed to comprehend the infallible word, to wit

I asked you, what is the meaning of "INCARNATE"? Learn to answer.

So, Allah is a King and not God. Why do I have to follow a person who has eyes, legs and a King? Answer my question.

Jesus has two natures. That is why Allah can not be God because Allah is limited in ability and power. If Allah is all powerful, why is he surprised that God can actually wear a human body? Allah is not God and is not akbar.

Still you are not supporting your claims that Allah is God.

Allah said he is a king. That mean Allah is not God since Allah has no comparison.

Because He is God the Creator of your ALLAH, Muhammad, et al.

[h=1]Isaiah 9:6-7[/h]6 For unto us a Child is born,
Unto us a Son is given;
And the government will be upon His shoulder.
And His name will be called
Wonderful, Counselor, Mighty God,
Everlasting Father, Prince of Peace.

Who is that Child?

Si unaona?
Umeshaanza vurugu mechi, mtama, mahindi, nyama, mboga za majani zote umechanganya umo umo, sijui part yako ya kujibu ni ipi, sijui part yako ya kuuliza swali ni ipi, ilimradi balaa.

Nilichokuuliza hata hujakigusia wallah, porojo lote uliloweka hapo, haujasema ni vipi Mungu anakuwa mtu afu anakuwa Mungu!

Haujasema unaamini miungu mingapi.

Haujasema kama bible unaiamini yote au unaamini baadhi.

Kwa upande wa maswali kutoka kwangu, ilo la Mungu ni Mfalme halijamaliza umesharukia anapua mara anamiguu.

Nimeweka Matayo hapo na umefahamu ila unaleta ubishi wa kitoto eti hiko ni kitabu gani kisa tu nimekosea spelling!

Hoja zako zenyewe ni madude ya kukopi kopi afu ata ivyo typing error zimo kibao, embu angalia baadhi ya maneno yalivyokamatana humo! Au nami niwe mpuuzi na kujifanya sijayaelewa?

Ishmael itabidi tufunge tu mjadala hapa coz, umeshindwa kwenda kwa utaratibu.

Namsubiria Eiyer achague no yoyote kati ya sita ili tuanze mjadala.
 
The Bible clearly teaches that Jesus is not God. In the Bible God is always someone else other than Jesus. Sa we Mungu wako ni yupi Jesus au Mungu wa waislam ambaye ni Mungu wa Yesu.
Show me a verse that Jesus is saying I am not God. Please show me.

But I can show you a verse from Quran that Allah is saying There is no God. That is sad,
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom