simbamzeewamwakidila
JF-Expert Member
- May 4, 2013
- 1,447
- 378
Umekuwa sheikh yahya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Allah Akbar Takbirrrrrri, waislam huwa tunawashika hao kila kona lakini wanakimbia, siunajua shetani kaisha wavuruga akili zao. Si unajua shetani anapenda wamshirikishe Mungu ili apate wafuasi wengi wakuingia naye motoni. Hio ya wakristo kumuita Yesu Mungu ndio inawapeleka kabisa motoni na haina toba. Yesu atakuja ulizwa na Mungu atasema mimi sikuwambia mniabudu wala sikuwambia mimi ni Mungu.
Surah 57:3 of the Quran refers to Allah as the First and the Last, the Most High and the Most Near. The Old Testament agrees that God is the First and the Last, as we read in the Book of the prophet Isaiah:Isaiah 44:6Thus says the LORD, the King of Israel and his Redeemer, the LORD of hosts: I am the first and I am the last, and there is no God besides Me. Wao wakasema hapa tubadilishe wakatengeneza Bibilia mpya inaitwa New Testament. Tazama wameandika nini; New Testament and read Revelation 1:17-18, where Jesus says:Do not be afraid; I am the first and the last, and the living One; and I was dead, and behold, I am alive forevermore, and I have the keys of death and of Hades. Shetani anawafundisha marifa ya kubadilisha kitabu cha Mungu wao wanakita kitabu cha Mungu kipya, wakati Mungu hajasema hayo wanajibandikia tu wanavyo penda wao, ilikumfanya binadamu kawa Mungu hahaha. Umeona hio Jesus kwani kasha rudi mpaa asema hayo, unaona vipi waongo wanavyo zama kwa aibu, mbona Jesus hajarudi sa wameyapata wapi hayo ya Yesu kusema; and I was dead, and behold, I am alive forevermore, and I have the keys of death and of Hades.
Chapter (7) sūrat l-aʿrāf (The Heights)
Sahih International: And when Moses arrived at Our appointed time and his Lord spoke to him, he said, "My Lord, show me [Yourself] that I may look at You." [Allah] said, "You will not see Me, but look at the mountain; if it should remain in place, then you will see Me." But when his Lord appeared to the mountain, He rendered it level, and Moses fell unconscious. And when he awoke, he said, "Exalted are You! I have repented to You, and I am the first of the believers."
Hakuna mwanadamu anaweza kumuona Mungu akiwa katika utukufu wake
akaishi (Exodus 33:20)New International Version (NIV)
[SUP]20 [/SUP]But, he said, you cannot see my face, for no one may see me and live.
Kawaida zao kukimbia si uliona yule Ishmael alijidai nimuonyeshe wapi Mungu kasema yeye ni Mungu, nilipo muonyesha kakimbia sababu kasema nikimuonyesha atasilim pale pale.Hahahahahahaaa.
Mkuu kukimbia wanakimbiaga sana hawa.
In short bible inapinga ukiristo.
Wakiristo wote wanatumia vifungu vilivyochakachuliwa. Na wengi ukiwambia ukweli wanasilimu.
Inshaallah, Mungu alete kheri huyu kijana asimbie. Nitamthibitishia na atapima mwenyewe labda tu awe ni mkristo kwa maslahi binafsi.
ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWA WAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALALUmevurugwa hujui hata tafsiri na maelekezo sahihi ya ulichokopi, unastahili kuelimishwa ila si kosa lako na mavirus ya nguruwe yamekuharibu.
Sababu wewe unaleta ujinga ujinga ndio nikakupa point kutoka vitabu vyote vya Mungu vinasema kumuona Mungu ni kitu hakiwezekani. Sa unataka nitumie kitabu/vitabu gani.imekuuliza swali,umekuja na jibu ambalo umetoa kwenye kitabu kisha ukachanganya na jibu kutoka kwenye kitabu kingine ambacho kiko tofauti kabisa na ambacho umetoa jibu la kwanza
Unavihusishaje hivyo vitabu viwili?
Aya ipo wapi wewe. I asked more than ten times. Show me a verse where your deity/Allah is saying. MIMI ALLAH NI MUNGU. Where is it?Kawaida zao kukimbia si uliona yule Ishmael alijidai nimuonyeshe wapi Mungu kasema yeye ni Mungu, nilipo muonyesha kakimbia sababu kasema nikimuonyesha atasilim pale pale.
Tatizo wewe hufahamu unaleta point ambazo Mwenyezi Mungu anasema kwenye dharura, anajua mana ya dharura? Yani umekosa chakula? Sa bora ule au ufe??ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWA WAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALAL
QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
Eiyer usibabaishaji.
Huo mfano wako wa mahekalu ya Wahindi ni irrelevant katika issue ya miskiti.
Nikuulize hapa.
Hekalu ni Msikiti?
Nipe mfano wa msikiti unaotumika kinyume na mambo yanayofanywa msikitini.
Nakuomba fungua nyuma ya bible yako alafu niambie wametafsiri vipi sinagogi?
Ubishi mwengine bhana, we unaambiwa desturi ya Yesu ni kuabudu ktk sinagogi we unasema si misikiti yote ni ya waislamu!!!
Embu niambie ninyi wakiristo mnaabudu ktk sinagogi gani/zipi?
Ivi Eiyer ukienda Marekani na ukakuta watu wanaabudu kanisani, jee utasema hao wanaoabudu hivyo ni waumini wa dini gani?
Na jee ukikuta watu wanaabudu msikitini, utasema hao ni waumini wa dini gani?
Yohana 6: 45 inataka tufundishwe na Mungu.
Wapi bible inasema Mungu hakuabudu msikitini bali alibudu kanisani.
Leta andiko.
Ukishindwa fungua:
Timoteo wa pili, 3: 7.
Wajifunze siku zote, ila wasiweze kabisa kufikia ujuzi, na kama vile Yane na Yamve walivyompinga Mussa, vivyo hivyo na hawa WANAPINGANA NA KWELI.
Kwaiyo Eiyer Mungu anasema watu watapinga kweli kama Yane na Yamve walivyompinga Mussa.
Kwaiyo wewe, yane na yamve shimoni.
Kula kunatofauti gani?Tatizo wewe hufahamu unaleta point ambazo Mwenyezi Mungu anasema kwenye dharura, anajua mana ya dharura? Yani umekosa chakula? Sa bora ule au ufe??
Sababu wewe unaleta ujinga ujinga ndio nikakupa point kutoka vitabu vyote vya Mungu vinasema kumuona Mungu ni kitu hakiwezekani. Sa unataka nitumie kitabu/vitabu gani.
You did not give a verse."I am God, there is no god but Me, therefore you shall worship Me and observe the Salat to commemorate Me." Qur'an 20:14
Surat Ţāhā (Ta-Ha) - سورة طه![]()
![]()
![]()
This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.
20:14to top
Sahih International
Indeed, I am Allah . There is no deity except Me, so worship Me and establish prayer for My remembrance.
Ha ha ha ha umewashika pabaya sana.Since when Biblia ni kitabu cha Mungu kwako?
You are the one who is scared of us.Hahahahahahaaa.
Mkuu kukimbia wanakimbiaga sana hawa.
In short bible inapinga ukiristo.
Wakiristo wote wanatumia vifungu vilivyochakachuliwa. Na wengi ukiwambia ukweli wanasilimu.
Inshaallah, Mungu alete kheri huyu kijana asimbie. Nitamthibitishia na atapima mwenyewe labda tu awe ni mkristo kwa maslahi binafsi.
Umeisha ambiwa Mungu hakuna binadamu anamuona anatuma ujumbe kwa kutumia Jabriil/Jabreel. We kama huna cha kuliza bora kalale tu Tazama .Surat Al-Ĥashr (The Exile) - سورة الحشرWAISLAM. LETENI AYA KUTOKA QUR'AN ambayo ALLAH anasema NA KUKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA:::: MIMI ALLAH NI MUNGU.
Sitaki aya ya mtu mwengine anazungumza bali awe ALLAH ndie msemaji katika hiyo aya
Kuna sifa ambayo haina jina? Nadhani we ni kichaa tu umeishiwa badala ya kujibu hoja unaleta ujinga undhani wote walevi hapa. Wewe jifanye hujui Allah=God hio haitusumbui sisi we baki unamuita Jesus Mungu lakini utajua siku ukifa kama anavyo sema Mungu kwenye Qur'an Al Imran 3:71; O people of the Scripture (Jews and Christians): "Why do you mix truth with falsehood and conceal the truth while you know.
Maswali yapo.
Yesu si Mungu.
Nyakati wa pili, 6: 18,
Yohana 8: 40,
Na Matayo 38: 40.
Ukimtegemea Yesu badala ya Mungu motoni,
Kwani yesu amelaaniwa.
Kumbu la Taurati 21: 22.
Akiwa mtu ametenda dhambi, ipasayokufa, akauwawa na wakamtundika juu ya mti, mzoga wake usilale usiku kucha juu ya mti, lazima utamzika siku hiyo hiyo, KWANI, ALIYETUNDIKWA AMELAANIWA NA MUNGU.
Nakuuli maswali.
Nini maana ya laana?
Alielaaniwa atakwenda wapi? (mbinguni au motoni?)
Na jee anayemfata alielaaniwa naye atakwenda wapi?
Umesema Yesu ni mwokozi wako. Kivipi?
Sasa hivi Yesu hayupo. Jee unapataje uokovu?
Na kwa vile Yesu anakataa kwamba sio Mungu kama nilivyokuekea vifungu. Nawe umepinga na umeniwekea vifungu kutoka ktk bible hiyo hiyo.
SWALI:
Jee unaamini bible yote au unaamini baadhi na zilizobaki huziamini? (Swali hilo ulijibu)
Kumbuka na kuambatanisha na aya za bible ktk majibu yako. Usijaribu kumzulia Yesu wala Mungu.
God ni God, sa anaitwa nani.Kwahiyo God ni jina,sio?
Ni wakristo ndio mnasema kalaniwa sio waislam hahaha, hakuna muislam anaweza kusema Yesu kalaniwa labda awe kichaa. Bibilia ndio inasema mtu aliye tundikwa kwenye mti/amsalabani amelaniwa.Unajicontradict sana wewe
Huku unasema Yesu amelaaniwa na kumfuata ni kwenda motoni
Kule unasema Yesu ni Muislam na kila leo mnadai mnamkubali na kufuata mafundisho yake
Nikueleweje wewe?