Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.

Hahahahahahaaa.
Mkuu kukimbia wanakimbiaga sana hawa.
In short bible inapinga ukiristo.
Wakiristo wote wanatumia vifungu vilivyochakachuliwa. Na wengi ukiwambia ukweli wanasilimu.
Inshaallah, Mungu alete kheri huyu kijana asimbie. Nitamthibitishia na atapima mwenyewe labda tu awe ni mkristo kwa maslahi binafsi.
 
imekuuliza swali,umekuja na jibu ambalo umetoa kwenye kitabu kisha ukachanganya na jibu kutoka kwenye kitabu kingine ambacho kiko tofauti kabisa na ambacho umetoa jibu la kwanza

Unavihusishaje hivyo vitabu viwili?
 
Kawaida zao kukimbia si uliona yule Ishmael alijidai nimuonyeshe wapi Mungu kasema yeye ni Mungu, nilipo muonyesha kakimbia sababu kasema nikimuonyesha atasilim pale pale.
 
Umevurugwa hujui hata tafsiri na maelekezo sahihi ya ulichokopi, unastahili kuelimishwa ila si kosa lako na mavirus ya nguruwe yamekuharibu.
ALLAH ATOA RUHUSA YA KULA NGURUWE KWA WAISLAMU-NGURUWE SASA NI HALAL

QURAN AL- BAQARA (2:173)
173.Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya Nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi kula Nguruwe. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.
 
imekuuliza swali,umekuja na jibu ambalo umetoa kwenye kitabu kisha ukachanganya na jibu kutoka kwenye kitabu kingine ambacho kiko tofauti kabisa na ambacho umetoa jibu la kwanza

Unavihusishaje hivyo vitabu viwili?
Sababu wewe unaleta ujinga ujinga ndio nikakupa point kutoka vitabu vyote vya Mungu vinasema kumuona Mungu ni kitu hakiwezekani. Sa unataka nitumie kitabu/vitabu gani.
 
Kawaida zao kukimbia si uliona yule Ishmael alijidai nimuonyeshe wapi Mungu kasema yeye ni Mungu, nilipo muonyesha kakimbia sababu kasema nikimuonyesha atasilim pale pale.
Aya ipo wapi wewe. I asked more than ten times. Show me a verse where your deity/Allah is saying. MIMI ALLAH NI MUNGU. Where is it?
 
Tatizo wewe hufahamu unaleta point ambazo Mwenyezi Mungu anasema kwenye dharura, anajua mana ya dharura? Yani umekosa chakula? Sa bora ule au ufe??
 
Hivi umeelewa nilichokuandikia kweli wewe?
 
WAISLAM. LETENI AYA KUTOKA QUR'AN ambayo ALLAH anasema NA KUKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA:::: MIMI ALLAH NI MUNGU.
Sitaki aya ya mtu mwengine anazungumza bali awe ALLAH ndie msemaji katika hiyo aya
 
Tatizo wewe hufahamu unaleta point ambazo Mwenyezi Mungu anasema kwenye dharura, anajua mana ya dharura? Yani umekosa chakula? Sa bora ule au ufe??
Kula kunatofauti gani?

Umekula Nguruwe au haujakula Nguruwe? Acheni kuwa na vigeugeu bana. Nguruwe ni halal. Aya nimesha kupa
 
Sababu wewe unaleta ujinga ujinga ndio nikakupa point kutoka vitabu vyote vya Mungu vinasema kumuona Mungu ni kitu hakiwezekani. Sa unataka nitumie kitabu/vitabu gani.

Since when Biblia ni kitabu cha Mungu kwako?
 
You did not give a verse.

I need a verse that says. I Allah am God. MIMI ALLAH NI MUNGU.
 
You are the one who is scared of us.
Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

Nenda kaombe Mwezi.
 
WAISLAM. LETENI AYA KUTOKA QUR'AN ambayo ALLAH anasema NA KUKIRI KWA MDOMO WAKE KUWA:::: MIMI ALLAH NI MUNGU.
Sitaki aya ya mtu mwengine anazungumza bali awe ALLAH ndie msemaji katika hiyo aya
Umeisha ambiwa Mungu hakuna binadamu anamuona anatuma ujumbe kwa kutumia Jabriil/Jabreel. We kama huna cha kuliza bora kalale tu Tazama .Surat Al-Ĥashr (The Exile) - سورة الحشر

This is a portion of the entire surah. View more context, or the entire surah.

59:22to top

Sahih International
He is Allah , other than whom there is no deity, Knower of the unseen and the witnessed. He is the Entirely Merciful, the Especially Merciful.

59:23to top

Sahih International
He is Allah , other than whom there is no deity, the Sovereign, the Pure, the Perfection, the Bestower of Faith, the Overseer, the Exalted in Might, the Compeller, the Superior. Exalted is Allah above whatever they associate with Him.

59:24to top

Sahih International
He is Allah , the Creator, the Inventor, the Fashioner; to Him belong the best names. Whatever is in the heavens and earth is exalting Him. And He is the Exalted in Might, the Wise.
Tafsiri ingine hio kutoka kwenye Qur'an; He is God; there is no god but He, He is the Knower of the unseen and the visible; He is the All-Merciful, the All-Compassionate. He is God, there is no God but He. He is the King, the All-Holy, the All-Peace, the Guardian of Faith, the All-Preserver, the All-Mighty, the All-Compeller, the All-Sublime. Glory be to God, above that they associate! He is God the Creator, the Maker, the Shaper. To Him belong the Names Most Beautiful. All that is in the heavens and the earth magnifies Him; He is the All-Mighty, the All-Wise." (59:22-24)
 
Kwahiyo God ni jina,sio?
 
Unajicontradict sana wewe

Huku unasema Yesu amelaaniwa na kumfuata ni kwenda motoni
Kule unasema Yesu ni Muislam na kila leo mnadai mnamkubali na kufuata mafundisho yake

Nikueleweje wewe?
 
Unajicontradict sana wewe

Huku unasema Yesu amelaaniwa na kumfuata ni kwenda motoni
Kule unasema Yesu ni Muislam na kila leo mnadai mnamkubali na kufuata mafundisho yake

Nikueleweje wewe?
Ni wakristo ndio mnasema kalaniwa sio waislam hahaha, hakuna muislam anaweza kusema Yesu kalaniwa labda awe kichaa. Bibilia ndio inasema mtu aliye tundikwa kwenye mti/amsalabani amelaniwa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…