Siumena hapo?
Umetaka tujadili ukondoo wako nashangaa hutaki twende ulivyosema.
Maana kondoo wanalishwa mikate, nilijua at least unajua ni kwa nini unakula ile mikate kumbe hamna kitu kabisa!!!! Sasa nushauri: ukitaka kulishwa tena ule mkake usile mpaka uambiwe sababu NA upewe hiko kifungu kinachoruhusu hilo.
Ivi unataka tujadili ukondoo wako au unataka tujadili whether Quran ni maneno ya uongo au kweli?
Hapo nilipoweka blue unaongea sana utafikiri ni issue sana hicho ni kielelezo tu kama vile Kubatizwa, na inamaana yake, lakini jambo kubwa ni Yesu tu, kwasababu yeye ndio njia
Hapo nilipoweka red haya twende kazi
1 Wakorintho 11:23-27
23 Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate,
24 naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
25 Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu.
26 Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.
27 Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana.
28 Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe.
Kielelezo cha kula mwili wa Bwana na kunywa damu yake kinaonyesha ya kuwa tunashiriki katika uzima wake
Yohana 6:56 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.
Tunachokula na kunywa katika meza ya Bwana ni mifano tu, Yesu alisema ya kuwa huu ndio mwili wangu. Tena aliposhika vyakula vile viwili, mwili wake ulikuwa mzima na damu yake ilikuwa mwilini mwake, ilikuwa bado hajaenda msalabani
Mathayo 26:26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu
Ni kama vile Yesu aliposema yeye ni Mlango
Yohana 10:9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.
Haya Mashaxizo point yako iko wapi!?