Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Adiosamigo nahisi mkuu wa chuo ni mchungaji lakini anaogopa kusema coz anajua huenda akapoteza kondoo wake, maana hata humu anao, anavyokula sadaka za wenzie anajua kinaweza kisieleweke.

Naamini wameshaambizana wakimbie!!!!!!!

Tukimbie nini mkuu? Hatuwezi kukimbia kwa hoja nyepesi km hizi...!

Nimekuuliza swali hapo nyuma hasa kuna Aya moja nimekupa inasema kua Qur-an ni mkusanyiko wa uongo na ni kakuuliza swali ni halali kwa Aya hiyo kutumia km ushahidi kua Qur-an ina mapungufu mengi? Hujanijibu mpk sasaivi Lkn wewe Unataka ujibiwe wewe tu! Hebu jibu basi kwanza!
 



Yani wewe Ndio huna lolote..! Kitabu chako hukijui Ndio utaweza kufahamu biblia kweli? Hayo maarifa utayatoa wapi? Maarifa siku zote yako kwa Mungu wa kweli alie hai muumba wa kila kitu sio Mungu wenu Huyu!

Pamoja na yoooooote uliyoandika Mimi nakupa pooooooole sn.....!
 
@Adiosamigo, ningeomba utoe kauli hapa, ila ningeomba ufafanuzi kwenye hizi hayati. i..pia naskia alikuwa rijali si kitoto mwenye uwezo wa kulala na wanawake hadi 40 kwa mpigo.. aliwezaje haya yote...
Naomba povu lisiwepo... asante...

cc Adiosamigo, @Xout, MaxShimba, kahtaan, MZIMU
 
Last edited by a moderator:

Ntuzu. mnajizonga tu!

Mimi sijasema sinqgogi ni msikiti, na kama nimesema weka ushahidi.

nilichokisema ni kwamba mila na desturi ya Yesu ni kuabudu kwenye sinagogi. na maana ya sinagogi inapatikana nyuma ya biblia.

Labda nikuulize.

Kuhusu maana ya sinagogi, nikuamini wewe au niiamini biblia?
 
Mkuu mi ni muumini wa kawaida kabisa ktk kanisa langu Lkn nataka Nijibu swali la Huyu Mashaxizo nione atasema nini tena nachagua ktk hayo hayo maneno Yake ingawa haimaanishi hivyo!

Mashaxizo mimi ni kondoo

Haya Lete hoja mkuu Sasa

Ntuzu wewe mdogo sana. sipendi nikuonee. napenda yule ajuae, nitaweka kifungu naye atajibu kwa kifungu na hiyo ndio njia rahisi na salama ktk kujadili.

if uko sawa na tuanze.

SWALI

Ivi ile mikate mnayokula kanisani huwa imewekwa nini hata mkiambiwa Yesu ni Mungu mnakubali????

Una andiko lolote linalosapoti ulishwaji wa mikate?

katika kunijibu naomba uanze na msimamo wako kwa biblia whether unaiamini yote au unaamini baadhi.

jibu swali uliza swali.
 
Last edited by a moderator:


Nasema hivi ulikotaka kuelekea hasa kutokana na swala la Sinagogi Mimi nilishakujua siku nyingi Ndio Maana nikakuletea ule mtiririko kuvunja hoja yako. Nashukuru umekosa Majibu ktk Hilo swali na sisi Ndio tumekupa Majibu...!

Nasisitiza Yesu alikua sio muislamu kwasababu aliingia ktk masinagogi Ambayo sio Nyumba ya kuabudia waislamu.

Tena kwa muislamu yoyote Yule akijenga hoja kutokana Na hii dhana ya Sinagogi Huyo ni muongo mkubwa na anawapoteza......!
 

Nikuamini wewe au niamini biblia?
 



Eiyer ulimwambia hajui kitu na kwamba anadandia tu mambo. Sawa. Mimi umeniambia mdogo utanionea, Nasema sawa....! Lkn cha kushangaza swali lako ambalo umeuliza nimekujibu na tena narudia hapa kukujibu km hujaona tena kwa herufi kubwa ili ulete hoja yako tuione..!

MIMI Ntuzu NI KONDOOOOOOO. Aya Lete hoja Sasa!

Unapenda sn kuuliza Maswali na ujibiwe wewe Wakati huo huo Maswali yetu kibao hutaki kuyajibu...! Alafu eti unadai wewe mkubwa...! Teh Teh Teh Teh Teh

Kwa mujibu wa Qur-an 15:91 au Surat Al-Hijr, Quran ni mkusanyiko wa WA UONGO. Tetea hii basi Tuone km wewe mkubwa...!
 
Last edited by a moderator:
Nikuamini wewe au niamini biblia?



Huo ubavu unaolalia sisi tulishamaamkia siku nyingi..! Kajipange tena uje na hoja zingiene sio hizo Za kitoto...!

Unaleta hoja Za Sinagogi.....! Unafurahisha sn. Hapo nyuma umepewa Aya na Mkuu wa chuo tena imeyatofautisha kabisa hayo kwamba makanisa misikiti na masinagogi, na akakupiga swali kwanini Qur-an imevitofautisha hivi vitu km viko na Maana sawa? Umejikausha na kujifanya huoni Hilo swali na kukomalia Mara oooh tabu lenu limechakachuliwa huku ukikwepa Aya kutoka ndani ya Qur-an ikisema ni mkusanyiko wa uongo..!

Unafurahisha sn...!

Nakuachia changamoto hapa...!

Km Yesu kwa kuingia kwake ktk masinagogi tukisema ni muislamu basi na mtume Paulo au Mzee Sauli na yeye atakua ni muislamu Maana na yeye aliingia ktk masinagogi na kufundisha....!

Asante..!
 
Last edited by a moderator:

Katika watu ambao hawajui chochote katika uislam ni wewe, Ishmael, maana unakopikopi vi aya hata hujui ufafanuzi wake, nadhani wewe ni mmoja wa wale wanafunzi waliodanganywadanganywa na akina Marehem Simbaulanga na kakikundi kake ka biblia ni jibu. Kwa taarifa yako, uislam huwezi kuutambua kwa vihadithi vya kuungaunga bila kuzama ndani ya uislam na kujifunza kwa nia ya kuelewa. Wewe ni katuni tu, unakopi na ku paste vitu bila ufahamu, acha utoto.
 
Last edited by a moderator:

Siumena hapo?
Umetaka tujadili ukondoo wako nashangaa hutaki twende ulivyosema.

Maana kondoo wanalishwa mikate, nilijua at least unajua ni kwa nini unakula ile mikate kumbe hamna kitu kabisa!!!! Sasa nushauri: ukitaka kulishwa tena ule mkake usile mpaka uambiwe sababu NA upewe hiko kifungu kinachoruhusu hilo.

Ivi unataka tujadili ukondoo wako au unataka tujadili whether Quran ni maneno ya uongo au kweli?
 
Last edited by a moderator:



Huna hoja weye Mashaxizo nisije nikasema sn nikawakwaza ndugu zako Maana hua hamchelewi kukwazika na kuanza kutoa maneno hovyo..!

Unapewa Majibu unarukia kitu kitu kingine..... Teh Teh Teh Teh Teh.., unakuja na vi-kariri hapa....! Pole sn...!

Endeleeni kudanganyana Lkn Yesu Kristo Ndio ishara kuu ya kiama na mnapaswa kumfata yeye na si Muhammad. Hayo sio maneno yangu ni kutoka ktk kitabu chenu..!
 
Last edited by a moderator:

Inamaana swali nililokuuliza linahitaji jibu hilo?

Jaalia wewe ni mealimu, ukamuuliza mwanafunzi wako swali nililokuuliza, na akajibu kama ulivyojibu wewe, Jee ungempa mark gani?

Ivi swali nililokuuliza lina ugumu gani hata ushindwe kulijibu?

Nakuuliza tena:

NIKUAMINI WEWE AU NIAMINI BIBLIA?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha kwamba hawamtaki mtume Paulo, kama kweli issue ingekuwa ni Sinagogi basi kwanini wasimng'ang'anie na mtume Paulo!?
 
Hapo nilipoweka blue unaongea sana utafikiri ni issue sana hicho ni kielelezo tu kama vile Kubatizwa, na inamaana yake, lakini jambo kubwa ni Yesu tu, kwasababu yeye ndio njia

Hapo nilipoweka red haya twende kazi

1 Wakorintho 11:23-27

23 Kwa maana mimi nalipokea kwa Bwana niliyowapa nanyi, ya kuwa Bwana Yesu usiku ule aliotolewa alitwaa mkate,
24 naye akiisha kushukuru akaumega, akasema, Huu ndio mwili wangu ulio kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
25 Na vivi hivi baada ya kula akakitwaa kikombe, akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu; fanyeni hivi kila mnywapo, kwa ukumbusho wangu.
26 Maana kila mwulapo mkate huu na kukinywea kikombe hiki, mwaitangaza mauti ya Bwana hata ajapo.
27 Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana.
28 Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe.

Kielelezo cha kula mwili wa Bwana na kunywa damu yake kinaonyesha ya kuwa tunashiriki katika uzima wake

Yohana 6:56 Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake.

Tunachokula na kunywa katika meza ya Bwana ni mifano tu, Yesu alisema ya kuwa huu ndio mwili wangu. Tena aliposhika vyakula vile viwili, mwili wake ulikuwa mzima na damu yake ilikuwa mwilini mwake, ilikuwa bado hajaenda msalabani

Mathayo 26:26 Nao walipokuwa wakila Yesu alitwaa mkate, akabariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ndio mwili wangu

Ni kama vile Yesu aliposema yeye ni Mlango

Yohana 10:9 Mimi ndimi mlango; mtu akiingia kwa mimi, ataokoka; ataingia na kutoka, naye atapata malisho.


Haya Mashaxizo point yako iko wapi!?
 
Hahahahaha kwamba hawamtaki mtume Paulo, kama kweli issue ingekuwa ni Sinagogi basi kwanini wasimng'ang'anie na mtume Paulo!?


Si Ndio hapo mkuu..?! Hawa jamaa ni vichekesho sn...!

Km issue aingiae ktk masinagogi ni muislamu basi na mtume Paulo au kiboko ya waislamu na yeye ni muislamu Maana aliingia sn Huyu mtume ktk masinagogi na kufundisha...!

Hapa mkuu tumewabana hawana hoja tena Hawa ndugu zetu ktk hili ata Huyu ajiitae kiboko ya wakristo kwa Jf Adiosamigo ktk hili hatii neno!

Mkuu wa chuo Pamoja mkuu, mi ntakua msomaji Tu hamna kitu kwa Huyu mwenzetu!
 
Last edited by a moderator:


Huyu bwana amekariri tu haya mambo..! Alikomaa weee na swali lake la kondoo au mchungaji nimemjibu Mimi kondoo karukia swala la mkate..! Napenda afahamu kua Maswali yake yote biblia takatifu ina Majibu yote..! Ni yeye tu uelewa wake uamini wake..!

Umempa mafungu hapo juu Ngoja aje na Majibu Tuone..!
 



Aya nakujibu hili kwa uzuuuuuri kabisa..!

TUAMINI BIBLIA.

Aya Lete maneno Sasa kutokana na Hilo jibu..!
 
Jesus performed miracles too, did he practice witchcraft? No not at all, they were miracles which were performed through the will of God, to convince those around him that he brought the truth.
 
Ntuzu, huwa sipendi kusema dingi alinisomesha sana lakini nadhani wenye akili wanajua mimi ni nani na wewe ni nani. Okay; Sa wewe wacha kuimba nyimbo za kanisani hapa, mimi naijua BIBILIA KULIKO WEWE ndio sababu sijaikubali. Nasitakuja ikubali, kama imetoka kwa Mungu. Hio Bibili yenu ya sasa imetoka kwa shetani wenu Paulo. Paulo alikuwa anataka apate wenzake haraka sana kule motoni. Ukitaka kuwa mfuasi mkweli wa bibilia, unatakiwa uwe mkristo wa kweli haswa. Na kuwa mkristo wa kweli, lazima unywe sumu. Unatakiwa ujipime imani yako, kama we kweli mfuasi mzuri wa kikristo, sio domo tu, kuwa mfuasi mzuri wa kikristo na hufati sharia zake haina faida dogo. Anza hapa kama Marko inavyosema. Marko 16:18wataweza hata kuwakamata nyoka na kunywa sumu lakini wasidhurike; watawawekea wagonjwa mikono, nao watapona."Sa wewe Ntuzu umeisha kunywa sumu? Au unaweza kuwashika nyoka? Hebu kwanza kanywe sumu afu ukisha kufa utaona unaenda peponi au motoni. Yani huyo Paulo hata mtoto wakislam aliye soma madrasa ya Qur'an angemjimbu hivi; kujiuwa unaenda motoni. Kweli moto wa Jahanamu unakungojea, tena ukiwaka umewaka we mfananishe Mungu na binadamu usisahau ukifika motoni ni call kwa kutumia international call, mana pale local hunipati kabisa, Afu uniambie hivi; Adiosamigo ulio nieleza duniani ni ya kweli kabisa.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…