Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Sa tukabliana Adam alitumwa na Mungu afahamishe watoto wake namna Mungu anavyo taka wayafanye sio. Kwa hio Adam kuwa ni mtume kuna kosa hapo? Sa mbona wakristo mnashangaa tukisema Adam ni mtume.
Alitumia kitabu gani, maana kila Ummah ulipewa Kitaab kutokana na Quran yenu dhaif. Sasa Adam alitumia Kitaab gani na kilishushwa lini na kipo wapi.

Haya fanya kazi ya kumsaidia Allah wako.
 

Silly season is here again.



Naona kijana na Mjukuu wa Muhammad unaanza kukimbia mada. Si ulitaka kutest kama Sumu inafanya kazi, VIPI ALLAH ASHINDWE VIBAYA SANA KUMPONYA MUHAMMAD baada ya KULISHWA sumu na Dada Jasiri wa Kiyahudi?

Hakika Allah WENU HANA UWEZO WA KUPONYA.

Hivi, kwanini Jibril alimuombea Muhammad? Hivi hajua kuwa Allah hakuwa na mpango wowote ule wa kumponya Muhammad, AU JIBRIL huwa anajituma mwenye na kusema ETI Allah kamtuma. HUU NI MSIBA.

How can we then trust this Jibril?
 
We wacha kukimbia swali langu, kama wewe mkristo kwanini hunywi sumu, au umemshika nani akapona, au umeshika joka gani toka umezaliwa? Firimbi nyingi tu. Swali la Mtume kunyeshwa sumu nimeisha kujibu kalisome, sina time kurudia kila wakati kujibu ujinga wako ule ule. Yani umefikia mpaa unajiquote hapo ni dalili kama umeishiwa.
 
Alitumia kitabu gani, maana kila Ummah ulipewa Kitaab kutokana na Quran yenu dhaif. Sasa Adam alitumia Kitaab gani na kilishushwa lini na kipo wapi.

Haya fanya kazi ya kumsaidia Allah wako.
Yani nikiwaeleza wakristo hata Mitume hamuwajui mnabisha, mnampiga Adam kama si Mtume, wakati bibilia yenu inamkubali kama nimtume, sijui hapo mtaificha wapi aibu hio.Logically speaking, A prophet is simply someone who speaks to God Directly or Indirectly, and then tells others what they have heard. So Adam would be the first. We kaisome bibilia yako utaona Adam ni Mtume, kasome; Genesis 20:7 Now therefore restore the man his wife; for he is a prophet, and he shall pray for thee, and thou shalt live: and if thou restore her not, know thou that thou shalt surely die, thou, and all that are thine.
Tazama Bibilia Yenu inasema nini kuhusu; This list is of Bible prophets from Old Testament times from Adam to Malachi.

Old Testament Bible Prophets
  • Adam[SUP]1[/SUP]
  • Abel[SUP]2[/SUP]
  • Seth[SUP]3[/SUP]
  • Enos[SUP]3[/SUP]
  • Cainan[SUP]3[/SUP]
  • Mahalaleel[SUP]3[/SUP]
  • Jared[SUP]3[/SUP]
  • Enoch[SUP]3[/SUP]
  • Methuselah[SUP]3[/SUP]
  • Noah
  • Shem
  • Melchizedek
  • Abraham
  • Isaac
  • Jacob
  • Elias or Esaias[SUP]4[/SUP]
  • Gad[SUP]2[/SUP]
  • Jeremy[SUP]2[/SUP]
  • Elihu[SUP]2[/SUP]
  • Caleb[SUP]2[/SUP]
  • Jethro[SUP]2[/SUP]
  • Moses
  • Joshua
  • Balaam
  • Zechariah
  • Eli
  • Samuel
  • Nathan
  • Micaiah
  • Ahijah
  • Jehu
  • Elijah
  • Elisha
  • Job
  • Joel
  • Jonah
  • Amos
  • Hosea/Hoshea
  • Isaiah
  • Micah
  • Nahum
  • Zephaniah
  • Jeremiah
  • Habakkuk
  • Obadiah
  • Daniel
  • Ezekiel
    Hao nimewaweka kwenye list walitumia vitabu gani, mnona wenyewe mnawaita Mitume, na Adam yumo kwenye list? Unaweza kutazama hapa zaidi; Old Testament Bible Prophets (A List)
 
Ukristo sio swala la dini ni swala la maisha. Jibu ndio inawezekana...."Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio Marko16:17"
 
wakina faiza Foxy na wengine walikuwa wanashiriki sana hii Mijadala alipogundua mnavyo wanyanyapaa wanawake amejitoa..Sasa wewe kuniita Dada ndio unaamini umenishusha saaaaaana?!!! Kwakuwa dada yoyote hana thamani machoni pake.
KWakuwa Dini yenu inahulka ya kuwadharau wanawake, mpaka kukataza wasiwe huru katika uvaaji, maamuzi, mirathi, wakibakwa wakijitetea mnawaua, wakibakwa mnataka walete ushahidi wa watu wa nne, yaani swala la nyinyi kwenda kuchunguza kama kuna manii ya mwanaume sio la msingi lamsingi ni watu wa4. wasisome, wasifanye kazi, kazi yao ni kuzaa tu kama kuku wa mayai na nguruwe. KAuli zako zinaonyesha wewe ni tineja wa form two ama sivyo unaonekana umeachana na mkeo, demu wako, ama mchumba wako karibuni na una hasira za kuachwa. Ama ulimfumania basi unaona uchanganye chuki yako kwa kila mwanamke. You are pathetic
Kumbuka mwanamke ndiye aliyekuleta hapa Duniani. Huna haki ya kumdharahu hata mmoja...
 
Ukristo sio swala la dini ni swala la maisha. Jibu ndio inawezekana...."Na ishara hizi zitafuatana na hao waaminio Marko16:17"
Safi sana sa we kama unauamini ukristo kama inavyo sema Marko 16:17 mbona hujaribu? Au we si wanao amini ukristo? Yani kumbe siku zote tunapoteza wakati na mtu asiye amini ukristo. Afu unataka watu wafate ukristo. Ajiiib, hichi ni kichekesho cha mwaka aisay.
 
Bibilia imesema Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. (mathayo 4:7 )
Kujiua ama kuua mtu ni dhambi. Wako wengi waliosimama na Mungu wakapewa sumu na watu wabaya ili wafe, lakini Mungu akawashindia hawakufa kwa jina la Yesu.

Hoja yako inalenga zaidi kutafuta ishara.
kama wale waliomfuata yesu wakitaka ishara kutoka mbinguni na yesu akawaambia hawataona ishara zaidi ya ishara ya yona kumezwa na samaki. Ishara kuu ni ya yesu kufa na kufufuka msalabani. Kwahiyo kwa sababu za ishara huwezi ona. LAkini zipo shuhuda za waliolishwa sumu hawakufa.
 
wakina faiza Foxy na wengine walikuwa wanashiriki sana hii Mijadala alipogundua mnavyo wanyanyapaa wanawake amejitoa..
Mimi nimeingi akukujibu hapa tu unasemauislam una nyanyasa wanawake nani anaye kudanganya dogo. The basis of Islamic teachings with respect to women is exactly what we read in the Noble Qur`an: And for women are rights over men similar to those of men over women." Qur'an 2:228 Mtume Muhammad katika hadith zake alisema; Wafanyieni wema wanawake. Mwanamke ameumbwa na ubavu, na sehemu iliyopinda zaidi ni ya juu. Ukijaribu kuinyoosha itavunjika, na ukiiacha itabaki kama ilivyo. Kwa hiyo, watendeeni wema wanawake". Katika riwaya nyingine: " Ukijaribu kuunyoosha utamvunja na kumvunja ni kumtaliki.
"They (your wives) are your garment and you are a garment for them." Qur'an 2:187.
 
Bibilia imesema Yesu akamwambia, Tena imeandikwa, Usimjaribu Bwana Mungu wako. (mathayo 4:7 )
Kujiua ama kuua mtu ni dhambi. Wako wengi waliosimama na Mungu wakapewa sumu na watu wabaya ili wafe, lakini Mungu akawashindia hawakufa kwa jina la Yesu.
Dogo hizo ni kelele zisio kuwa na ukweli wowote, hebu tuambie nani katika hao walipewa sumu hakufa au aliumwa na nyoka hakufa? Usiniletee story za Yesu hapo, sababu Yesu hakuwa mkristo mana hamna dalili kama yeye ni mkristo, kama unazo zilete hapa. Hio yakusema usimjaribu Bwana Mungu Wako, nyie ndio wa kwanza mnamfanyia utani Mungu, kwa kusema binadamu kawa Mungu, wakati Yesu alitembea duniani, alikula, alilala, alizaliwa na binadamu, alipigiliwa kwenye msalaba kama mnavyo dai, na alikufa sa hamuoni hapo mnakufuru nyie. Mungu anasema hakuna kitu kinacho weza kumzuia yeye wala kiti chake. Hakuna anaye weza kukishika sababu kinafunika mbingu saba na dunia yote. Sa Yesu kamsalaba tu kalimtosha, mpaa akawa anaomba aokolewe. Afu mnasema kawa Mungu, kweli nyie vichaa haswa.
 
Usiseme yesu ni Mkristo sema Yesu ndiye Kristo mwana wa Mungu.MAthayo 16: 6 Simoni Petro akajibu akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hai.17 Yesu akajibu, akamwambia, Heri wewe Simoni Bar-yona; kwa kuwa mwili na damu havikukufunulia hili, bali Baba yangu aliye mbinguni.

Wanaoitwa wakristo ina maana kuwa ni wafuasi ama wanaomfuata YEsu kristo . Ndiyo maana kristo ni kichwa cha kanisa.(
Waefeso 5:25-29).
Yesu ni Mkuu kuliko. Wewe mimi na Muhammad, pia Yesu ni Mkuu kuliko Musa, Abraham, ISaka, Yakobo(ISrael), Mfalme Daudi, Mfalme Suleiman, Isaya, Yohana, Daniel mbatizaji n.k.

sikia maneno ya Yesu MAsiha(Mtiwa mafuta) ikiwa wewe ni Mnyenye kevu:
.....Isaya 61:
1 Roho ya Bwana MUNGU i juu yangu; kwa sababu Bwana amenitia mafuta niwahubiri wanyenyekevu habari njema; amenituma ili kuwaganga waliovunjika moyo, kuwatangazia mateka uhuru wao, na hao waliofungwa habari za kufunguliwa kwao.2 Kutangaza mwaka wa Bwana uliokubaliwa, na siku ya kisasi cha Mungu wetu; kuwafariji wote waliao;3 kuwaagizia hao waliao katika Sayuni, wapewe taji ya maua badala ya majivu, mafuta ya furaha badala ya maombolezo, vazi la sifa badala ya roho nzito; wapate kuitwa miti ya haki, iliyopandwa na Bwana, ili atukuzwe.



NB: Kama wewe sio pando la Mungu. Utakatwa na Kutupwa motoni. watch the hell out there........

 
Enyi mlioamini kwa yakini baadhi ya wake zenu na watoto wenu ni maadui zenu basi jihadharini nao Quran 64:14.
hadithis:
Punda ni bora kuko mwamke sahihi Timithi Vol 1 Na. 12
Kabuni ni bora kuliko mwanamke kuanzia – al- umul Sahifa ya 22:12


Watapata wanawake makalio urefu futi 40 mahuru rain – Ibn- Mahaha Vol 4 Uk. 540 Na. 2481.
muhammad aliwaambia wanawake:wanawake wanaakili nusu ya wanaume.
Kutokana na hivyo Ikiotkea mwanamke kabakwa lazima awe na ushahidi wa watu wasiopungua 4, akikosa ushihidi huu. Allah anamwesabia hatia mwanamke. anapigwa mawe hadi kufa. Na pengine hii ni kwakuwa akili ya mwanamke ni nusu ya mwanaume iwe kiroho ama kibinadamu.
Ulawiti wa wanawake: wanawake ni kama shamba limeni mpendavyo:
SWALI: JE Ni kosa Kumlawiti mwanamke kutokana na Imani yenu???Qur. 2.223.
niambie lipi kati ya haya lina mpa hadhi mwanamke.

My FOOT!!
 
Mkuu Allah hawezi kitu, Allah anafanya biashara na watu ili kuua watu.
Asingeruhusu wapalestina na waarabu wakapigwa vita ya siku 6 na Israel Angali walikuwa wanasaidiwa na Russia. Hilo jina Arshi sijui umelitoa wapi.... My FOOT.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…