Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hahaha nasitoki kabisa sababu ndio njia ya haki; [FONT=times new roman, times, serif]"O mankind! Verily, there has come to you the Messenger (Muhammad) with the truth from your Rabb (Sustainer, Lord). So believe in him, it is better for you. But if you disbelieve, then certainly to Allah belongs all that is in the heavens and the earth. And Allah is Ever All-Knowing, All-Wise." (Qur'an: 4:170)[/FONT]Proverbs 23:7For as he thinketh in his heart, so is he: Eat and drink, saith he to thee; but his heart is not with thee.
Ndio maana wewe umeshindwa kutoka kwenye box la Muhammad.
Hawawezi kuwa Mitume sababu Mtume Muhammad ndio kiboko wa Mitume wote, yani hawezi kutokea Mtume mwingine, na Mungu kasha sema; Huyo ndio Mtume wa mwisho amemtuma, na ukingojea mwingine aje labda si dunia hii tunayo ishi.Kwahiyo watoto wa Muhammad nao ni Mitume!!! Hivi hii logic umeipata wapi wewe?
Wakristo mnashangaza sana sa mbona Bibilia zenu zina list ya mitume, mbona sijaona kila mmoja kaja na kitabu chake, au wewe si mkristo? Husomi bibilia ukafahamu mna mitume wangapi? Na ile ya Adam ulipo ona bibilia imemkubali kama mtume, mbona ulikimbia hukurudi tena na swali lako la ujinga.Hahahahahah, huu ni msiba kweli mkuu... halafu eti hao mitume wote walipewa kila mmoja kitabu chake, sijui Ismail alipewa kitabu gani!?
Mengi nimesikia kuhusiana na nyota binafsi bado niko njia panda juu ya hili kutokana na maelezo yake kua watu hutofautiana nyota kulingana na mwezi na tarehe ya mtu kuzaliwa pia tabia ya mtu inatokana na nyota yake ilivyo hata kazi pia hutegemeana na nyota.
Swali langu linakuja kwanin iwe ivo inamaana ikitokea mtu nyota yake inamtaka afanye kazi ya aina fulan inabidi afanye hata kama haipend ilimrad tu nyota yake inasema ivo au hata kwenye masuala mazima ya mapenzi mtu itabidi achague yule anaye endana kwa kuangalia nyota ili aweze kudumu nae.
Mbona kuna mambo unaweza ukafanya na ukaenza kudumu katika mapenzi.naomben mchango wenu juu ya hili.
Sa nani aliye muambia mama yake Yesu kama atazaa kama si Jabreal? Sa vipi we usimuamini na wakristo mnamuita Holy Spirit na mungu wenu beside Jesus, eti Holy Spirit mnajua mana ya Holy Spirit nyie, kama mnajua msinge jidai vipi tumuamini Jabreal.Naona kijana na Mjukuu wa Muhammad unaanza kukimbia mada. Si ulitaka kutest kama Sumu inafanya kazi, VIPI ALLAH ASHINDWE VIBAYA SANA KUMPONYA MUHAMMAD baada ya KULISHWA sumu na Dada Jasiri wa Kiyahudi?
Hakika Allah WENU HANA UWEZO WA KUPONYA.
Hivi, kwanini Jibril alimuombea Muhammad? Hivi hajua kuwa Allah hakuwa na mpango wowote ule wa kumponya Muhammad, AU JIBRIL huwa anajituma mwenye na kusema ETI Allah kamtuma. HUU NI MSIBA.
How can we then trust this Jibril?
Hahaha mmeishiwa nyie, mara kapewa na Jabreal, mara shetani sa mke wake. Kesho utasema kapewa na mjomba wako. Any way we amini unavyo taka, lakini dogo kumbuka kila siku ukiamka Kaburi ndio linakuita. Tena linakutaja jina lako, flani wee nakungojea kwa hamu huku, uje ujibu maswali kama utafauli au uta fail. Na wewe Ishmael, na uhakika kama bado una mfananisha Mungu na binadamu, au unasema Yesu ni Mungu, basi dogo we ni wa motoni tu. Utanikumbuka ukifika huko utasema kumbe Adiosamigo, alikuwa ana nipenda sana. Utasema ujinga wangu ndio umenifanya nifike hapa, si Mkuu wa chuo , wala 2013 , watakusaidia kule. Hapo ndio wakristo watasema Bora tungekuwa udongo kuliko kuwa binadamu.Mbona unaogopa kutuletea aya.
Muhammad hakutumwa bali alipewa utume kwa mara ya kwanza na Mkewe. We know that.
adiosamigo maneno haya usemayo unaambiwa wewe.. mwenye macho hutaki kutazama, masikio hutaki kuona...Hahaha mmeishiwa nyie, mara kapewa na Jabreal, mara shetani sa mke wake. Kesho utasema kapewa na mjomba wako. Any way we amini unavyo taka, lakini dogo kumbuka kila siku ukiamka Kaburi ndio linakuita. Tena linakutaja jina lako, flani wee nakungojea kwa hamu huku, uje ujibu maswali kama utafauli au uta fail. Na wewe Ishmael, na uhakika kama bado una mfananisha Mungu na binadamu, au unasema Yesu ni Mungu, basi dogo we ni wa motoni tu. Utanikumbuka ukifika huko utasema kumbe Adiosamigo, alikuwa ana nipenda sana. Utasema ujinga wangu ndio umenifanya nifike hapa, si Mkuu wa chuo , wala 2013 , watakusaidia kule. Hapo ndio wakristo watasema Bora tungekuwa udongo kuliko kuwa binadamu.
Bado unahsindwa kuthibitisha maneno yako kwa kutumia aya. Nilikuonya mapemaa kuwa, huto weza msaidia Allah au Muhammad ambao wameshindwa kusema na kutetea madai yenu.Hahaha mmeishiwa nyie, mara kapewa na Jabreal, mara shetani sa mke wake. Kesho utasema kapewa na mjomba wako. Any way we amini unavyo taka, lakini dogo kumbuka kila siku ukiamka Kaburi ndio linakuita. Tena linakutaja jina lako, flani wee nakungojea kwa hamu huku, uje ujibu maswali kama utafauli au uta fail. Na wewe Ishmael, na uhakika kama bado una mfananisha Mungu na binadamu, au unasema Yesu ni Mungu, basi dogo we ni wa motoni tu. Utanikumbuka ukifika huko utasema kumbe Adiosamigo, alikuwa ana nipenda sana. Utasema ujinga wangu ndio umenifanya nifike hapa, si Mkuu wa chuo , wala 2013 , watakusaidia kule. Hapo ndio wakristo watasema Bora tungekuwa udongo kuliko kuwa binadamu.
KIJANA UNANZA KUKIMBIA MAPEMA HII:Sa nani aliye muambia mama yake Yesu kama atazaa kama si Jabreal? Sa vipi we usimuamini na wakristo mnamuita Holy Spirit na mungu wenu beside Jesus, eti Holy Spirit mnajua mana ya Holy Spirit nyie, kama mnajua msinge jidai vipi tumuamini Jabreal.
Hiyo ya sumu mbona nilisha kujibu kitambo huko nyuma we rudia tu page za nyuma utaona majibu yangu ya uhakika, nadhani huwa mpaa yanakuchanganya huyasomi unayaruka sababu ni ya ukweli mtupu, kama unayasoma na uhakika utaukimbia ukristo, sababu ni dini fake wala sio ya Yesu na WALA PIA HAIKUTOKA kwa Mungu.
I don't think so. Kiboko ya mitume afe kwa kulishwa sumu na mwanamke? Astaghfirullah.Hawawezi kuwa Mitume sababu Mtume Muhammad ndio kiboko wa Mitume wote, yani hawezi kutokea Mtume mwingine, na Mungu kasha sema; Huyo ndio Mtume wa mwisho amemtuma, na ukingojea mwingine aje labda si dunia hii tunayo ishi.
Dogo hizo kusema Yesu kajiita kristo mbona ni nyimbo tu za uwongo, kuna sehemu Yesu aliwambia wasimuite yeye ni Mkristo sababu hataki watu wasikie hayo, kwanini alikataa watu wasimuite kristo kama yeye ni kristo.Yesu alikataza kuitwa Kristo: Aliwakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20).Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni wale(Ant Christ). Hiyo ya kusema Mungu hata bibilia zenu zinaipinga.
Tazama (Mathayo 27:50). Hivyo mtu ambaye alifariki hawezi kuwa Mungu. Wakristo wanaamini kwamba Yesu alifariki kifo cha laana. Ukisoma (Ezekieli 28:8-9). Mwanadamu anauawa na Yesu anayo sifa hii sawa na Biblia inavyo sema.Yesu, ambaye nyie mlimuuwa mkimtundika katika mti." (Matendo 5:30). Mtu ambaye anatundikwa na anauawa hawezi kuwa Mungu, sababu hana sifa za Mungu, huyo anaitwa mtu dhaifu. BTW huwa mnasema Yesu alikuwepo kabla ya Prophet Abraham, hivi dogo hujui bibilia yenu inasema Prophet Solmon ambaye nyie mnamuita King si Mtume, anasema yeye alikuwepo pamoja na Mungu hata kabla ya kuumbwa ardhi na mbingu, (Mithali 8:22-30). Dogo Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49 zinasema Yesu alikuwa mfalme si Mtume. SA TUWAMBIE NINI TENA NYIE WAKRISTO bibilia inachanganya sana mara ni Mungu, mara ni Mtume na mara ni Mfalme wa Israel. Mungu gani aliuzwa? Yuda Iskariote alimuuza Yesu kwa shilingi 30 tu.(Mathayo 26:15).
Uthibitisho ninao ukubali ni aya tu. Mameno meengi sina muda nao.Ishamel, nimechunguza wewe huna kitu zaidi ya kuleta fujo, unarudia hayo hayo.Yani Aya zote huzioni tu, haya na hii hapa hujaiona bado; Say (O Muhammad to mankind): ‘If you (really) love Allah then follow me (i.e. accept Islamic Monotheism, follow Quran and the Sunnah), Allah will love you and forgive you your sins. And Allah is Oft-Forgiving, Most Merciful.' Say (O Muhammad): ‘Obey Allah and the Messenger (Muhammad).' But if they turn away, then Allah does not like the disbelievers." (Qur'an: 3:31)
Kwani we ni kaka?
Mi sijui jinsia yako kwa nadharia.
Nilichofanya ni kutazama maneno yako tu.
Yaani km sio dada basi una dalili zote za Ushoga!
Manake maneno yako yamejaa nyodo na mipasho tu!
Km unabisha Muulize yyt unaemuamini km atakwambia ukweli basi atakwambia haya haya ninayokwambia mimi.
Prophet Muhammad Allahs Messenger to the Whole Mankind; Prophet Muhammad was Allah's great Prophet and Messenger like Jesus, the Son of Mary. The Prophet's mission, however, is universal. Allah meaning: (the Exalted, Most Glorious) tells mankind that Prophet Muhammad is no more than a Messenger (Quran: 3:144), the unlettered Prophet who believes in Him and His Words (Qur'an 7:158). He is the Seal of the Prophets and the true universal Messenger of Allah to the whole mankind (Qur'an: 33:40). Allah makes this very clear: We have not sent you (O Muhammad) but as a universal (Messenger) to men giving them glad tidings and warning them (against sin) but most men understand not (Qur'an 34:28). Nakuongezea ingine hio; Indeed in the Messenger of Allah (Muhammad) you have a good example to follow for him who hopes for (the Meeting with) Allah and the Last Day, and remembers Allah much."(Qur'an 33:1)
Nyie bado mmeshindwa kutuletea ushahidi kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu.Huu mjadala kila leo najitahid kuupitia na nadhan utakuwa Popular siku za krbn humu Jf... WAKRISTO wameshindwa kutetea hoja wameanzisha vimaswali vya CHUKI ili waharibu maana nzima ya mdaharo huu Astaghafirllah! Wanajua UKWELI lakini wanaupinga...
Adiosamigo nahisi mkuu wa chuo ni mchungaji lakini anaogopa kusema coz anajua huenda akapoteza kondoo wake, maana hata humu anao, anavyokula sadaka za wenzie anajua kinaweza kisieleweke.
Naamini wameshaambizana wakimbie!!!!!!!
Hawawezi kuwa Mitume sababu Mtume Muhammad ndio kiboko wa Mitume wote, yani hawezi kutokea Mtume mwingine, na Mungu kasha sema; Huyo ndio Mtume wa mwisho amemtuma, na ukingojea mwingine aje labda si dunia hii tunayo ishi.
KORAN INAKIRI KUWA UISLAMU NI DINI YA WAARABU PEKEE[/SIZ[/FONT][/COLOR]
Nyie bado mmeshindwa kutuletea ushahidi kuwa Muhammad ni mtume wa Mungu.
Lete aya bana.