Eiyer lbd nikueleze kwa mara ya mwisho hapa na huko mbeleni sintorudia tena kukueleza hili. Na km hutobadili nidhamu ya kuuliza maswali yako basi Utaendelea kunipa hongera mpaka Kufa!
Unaponiuliza swali llt kwanza kabisa unatakiwa uwe na Nidhamu na usilete kebehi maana yake kwa kebehi hapa utakimbia mwenyewe!
Pili uwe umejipanga na hicho unachokiuliza!
Unauliza maswali yanayohusu WAISLAMU halafu UISLAMU WENYEWE HUUJUI!
Mimi ninapojadili ANDIKO Lako Basi natoa MANENO YOTE NDANI YA BIBI LIA yako na sio mipasho ya KANISANI.
Sasa we unauliza Kuhusu MITUME wa WAISLAMU halafu unaniuliza SALEH na YUSUF ni nani??
HIvi kweli we unataka kujua hapa!?
Wabovu sana nyie waefeso!