Nimeona, haya sasa lete ufahamu na ukaririshwaji wako toka katika Chuo cha bibilia au ndo ule ujinga wa kumeza vizima vizima kama "chatu"....!?
Nani alikisema hayo maneno na nani alikitumia ibada au matendo hayo....!?
Au ndo kama mnyama ila ninyi mmepotoka ziada hata ya hao wanyama....!?
mkuu naona unaendelea kupaste picha zisizo na maana..na kuzitolea maelezo, angalia hapo juu namba #1030 watu wamepaste facts kuhusu hii cult yako.Ni bora kujaribu kufundisha kondoo kuliko kumfundisha Mgalatia.
Sisi hatuna Uwezo wwt wa kumpa mtu unabii wala utume!! Wanaofanya hayo NI NYIE WAKRISTU!
Kila siku mnajipa Utume na unabii wanamme kwa wanawake! Juu ya kuwa Kwenye hilo likitabu lenu Halina nabii mwanamke HATTA MMOJA!
Hebu tazama hapa chini nini nabii wako kafanya kwa mke wa kondoo.
Hapo nilipoweka red, Waraqa bin Naufal aliutolea wapi huo uwezo wa kumpa mtu unabii!?
Sikua nahitaji maelezo meengi ambayo hayana mantiki kwakuwa mimi wala sioni umuhimu wa mipasho,uneishia kwenye red tu na ningekuelewa
Sasa swali linakuja [kwa mujibu wa jibu lako kwenye red],Adam ni mtume wa nani,yaani alitumwa kwa akina nani?
Ni kwanini mitume wengine wote ni Wayahudi kasoro Muhammad tu?
Unafiki na uongo ni JADI YENU!
Mtume SALEH sio MYAHUDI!
Mtume Yusuf SIO MYAHUDI.
Uongo ulimponza yule mkuda kwenye msalaba! Na wewe utakuponza siku moja.
Hilo la Mtume Adam Nenda kasome Quraan. Au mwambie Padri akusomee km hujui kusoma!
Bata mzinga!
Haya maneno umetoa wapi!
Na huyo uliemtaja hapo ni nani!
Naona muefeso kakugongea Like utafkiri kuna la maana umeandika hapa!
Kkkkkkkkk!
Ugalatia kaazi kweli kweli! Aisee!
Mtume Saleh ndio mtume gani?
Mtume Yusuph yupi unamzungumzia hapa?
Kama tunaanza kuambiana tukasome hiki au kile kuna sababu gani ya kuulizana maswali?
Kama huna jibu la Adam kutumwa kwa akina nani si uniambie tu?
Kama hilo jibu lipo kwenye Quran unashindwaje kuliandika hapa?
Kabla ya kukwambia nilipotolea, unamwelewa vipi Waraqa bin Naufal!? kwasababu huyo jamaa ndiye aliwaeleza yule aliyemniga Muhammad pangoni ni Jibril, aliyemwambia Muhammad Iqraa Bismi Rabbik... Kwasababu yeye na Khadija hawakujua ni nani, mpaka mzee mzima Waraqa akamwambia Khadija... Khadija akamwambia Muhammad...
Ndio nikasema kila mara hapa jukwaani kuwa unapojadili na Wagalatia unatakiwa uwe na subira sana.
Sasa hapo juu unajifanya kusema Eti kwanini Muhammad peke yakw Sio myahudi wakati mitume wengine wote wayahudi.
Nakufahamisha kuwa HAPO umedanganya na km kwaida yenu Uongo ni Nguzo kuu ya Ukafiri.
Halafu unaniuliza maswali mengine ya kipuuzi!
Kwenda kasome mwenyewe! Kwani mi babako! Nikutafunie kila kitu?
Wewe na hao wagalatia wenzako PAULO kaisha wavuruga!
Mi kukusaidia siwezi.
Eiyer lbd nikueleze kwa mara ya mwisho hapa na huko mbeleni sintorudia tena kukueleza hili. Na km hutobadili nidhamu ya kuuliza maswali yako basi Utaendelea kunipa hongera mpaka Kufa!Umeshindwa kuelezea majibu yako matokeo yake maneno ya hovyo ndio maelezo ya ufafanuzi wako
Hongera ...!!
Eiyer lbd nikueleze kwa mara ya mwisho hapa na huko mbeleni sintorudia tena kukueleza hili. Na km hutobadili nidhamu ya kuuliza maswali yako basi Utaendelea kunipa hongera mpaka Kufa!
Unaponiuliza swali llt kwanza kabisa unatakiwa uwe na Nidhamu na usilete kebehi maana yake kwa kebehi hapa utakimbia mwenyewe!
Pili uwe umejipanga na hicho unachokiuliza!
Unauliza maswali yanayohusu WAISLAMU halafu UISLAMU WENYEWE HUUJUI!
Mimi ninapojadili ANDIKO Lako Basi natoa MANENO YOTE NDANI YA BIBI LIA yako na sio mipasho ya KANISANI.
Sasa we unauliza Kuhusu MITUME wa WAISLAMU halafu unaniuliza SALEH na YUSUF ni nani??
HIvi kweli we unataka kujua hapa!?
Wabovu sana nyie waefeso!
We pray to God, inter-alia, Jesus is God.
YESU NI MUNGU MKUU
[/FONT][/COLOR]
We hicho cheo cha mkuu wa chuo unajipa hali ya kuwa hata mfagia chuo hayuko hivyo!
Wewe leo wakunifundisha mimi UISLAMU?
JIBU unachoulizwa Usituletee mipasho hapa!
Wapi WARAQA alimpa BINAADAMU YYT UTUME?
Hebu onyesha hapa km wewe ni msema kweli.
Basi wakristo mmekuwa wote km kina dada wa vingunguti?
Dahh!
Inter alia my black foot!
yesu yupi unaemuongelea hapa!
Ni yule wa msalabani? Au ni yule fundi seremala? Au ni yule MCHAWI?
Manake kwenye Bibilia kuna Yesu wengi.
Na km yesu ni mungu ilikuwaje Ajiue mwenyewe kwa ajili ya dhambi za watu wengine hali ya kuwa mtoa hukumu ni yeye mwenyewe?
Yaani ampe mimba mama yake, halafu akishazaliwa ajihukumu mwenyewe, halafu ajiombe mwenyewe aokoke na kile kikombe!
Halafu ajitoe kafara Mwenyewe ili ajiridhishw mwenyewe!
I that make any sense to you?
Miss paster! Lzm utakuwa unatumia Ile Dawa nyeupe inayouzwa VATICAN!
Unafiki na uongo ni JADI YENU!
Mtume SALEH sio MYAHUDI!
Mtume Yusuf SIO MYAHUDI.
Uongo ulimponza yule mkuda kwenye msalaba! Na wewe utakuponza siku moja.
Hilo la Mtume Adam Nenda kasome Quraan. Au mwambie Padri akusomee km hujui kusoma!
Bata mzinga!
Mkuu hawa kondoo wana balaa gani?