Maisha yetu huendeshwa na Nyota?

Status
Not open for further replies.
Please let us be constructive and truthful.

Is there a verse in the Quran that says as follows:

1. I Allah am God.
2. I Muhammad am a servant of God.

Please show me some verses
 
Hahaha I will be crazy, the day I said; My God has been dying.
ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwayanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
 
Si nimesema atakuja kusema yeye ni Mungu, kama alivyo jidai Firauni kuwe yeye ni Mungu.

Mkuu nilikuuliza maswali mawili ni kwanini umejibu moja?

Nilikuukiza kile ambacho atakuja kikifanya huyo masihi wenu wa uongo lakini nikakuuliza sababu ya yeye kuitwa masihi wa uongo na sip jina lingine

Hilo la sababu ya yeye kuitwa masihi wa uongo hujalijibu

Hebu nijibu!
 
Please let us be constructive and truthful.

Is there a verse in the Quran that says as follows:

1. I Allah am God.
2. I Muhammad am a servant of God.

Please show me some verses
Quran; chapter 36 verse 60 and 61 Did I not enjoin on you ,O children of Adam , that you should not worship Satan , verily he is a plain enemy to you 61 ;and that you should worship me alone , that is a straight path.
Say (O Muhammad): ‘O mankind! I am sent unto you all, as the Messenger of Allah to Whom belongs the dominion of the heavens and the earth: there is no god but He. He gives life and cause death.' So believe in Allah and His Messenger the unlettered prophet, who believes in Allah and His words, and follow him so that you may be guided.'" (Qur'an, 7:158)
 
Tatizo mlevi hata umfahamishe vipi haelewi, sababu kisha lewa.
 
ALLAH ALIUGUA MACHO:

"Wakati mmoja macho ya Allah yalikuwayanauma, na Malaika walikwenda kumuona, na kwamba Allah alitokwa na Machozi, kwa ajili ya Mafuriko ya Nabii Nuhu mpaka macho yake yakawa mekundu. (Al Milal Wannihal J. 1 uk. 141)
Mungu wa waislam hakuna aliye muona, hizo ni nyimbo za shetani tu.
 
Mungu wa waislam hakuna aliye muona, hizo ni nyimbo za shetani tu.
Pole sana. Kumbe hata Jibril hakuwa muona Allah. Aisee.

1.Hadithiya Ibn Umar (r.a) alisema, "Mtume (s.a.w) alisimama kati ya Watuakamsifu Allah kwa anachostahiki, kisha akamuelezea Dajjal, akasema,"Hakika nina wahadharisha naye. Hakuna Mtume isipokuwaamewahadharisha watu wake kuhusu Dajjal, kwa hakika Nuhu naye piaaliwahadharisha naye watu wake. Lakini nitawaambia neno ambalohakupata Mtume mwingine kuwaambia Watu wake. Ni Juu yenu kufahamukuwa yeye Ana Jicho moja tu, na Allah, hana Jicho moja."(Bukhari, Hadithi Na. 290, Juzuu ya 4).



2.Hadithiya Anas (r.a) amesema, Mtume (s.a.w) amesema, "Hakuna Mtumealiyetumwa, isipokuwa amewahadharisha watu wake na mwenye Jicho mojamrongo. Eleweni kuwa yeye ana jicho moja na hakika Bwana wenu hanaJicho moja kati ya Macho yake pameandikwa neno 'KAFIRI."(Bukhari, Hadithi Na. 245, Juzuu ya 9).
 
Hawezi kukujibu. Maana akijibu tu, na yeye ataitwa Kafir. Yupo radhi aseme uongo kuliko kukujibu swali lako lililo enda shule.
 
Quran; chapter 36 verse 60 and 61 Did I not enjoin on you ,O children of Adam , that you should not worship Satan , verily he is a plain enemy to you 61 ;and that you should worship me alone , that is a straight path.

Who was saying those words to Muhammad in the Quran? Was it Allah or Jibril? Be honest in your reply.


Now, show me a verse that shows Muhammad was repeating those words. There is none.

Please give me a verse that answers my prior request.
 
Tatizo mlevi hata umfahamishe vipi haelewi, sababu kisha lewa.
I see, now I know why is Quran corrupted. Read hereunder


[FONT=Verdana, sans-serif]SahihiMuslim 3753:'' Sisi tulikuwa pamoja na Mtume wa Allah, na Yeye Mtumewa Allah alikuwa na kiu na mtu mmoja akasema: Ewe Mtume wa MwenyeziMungu, Je, unataka kunywa mvinyo? Mtume Muhammad akasema: Ndio. Basiyule Mtu alikwenda kuleta mvinyo. Mtume wa Allah akamwambia: LeteMvinyo ulio mkali ili ninywe; Basi Mtume wa Allah alipo kunywa uleMvinyo Mkali alilewa"[/FONT]


[FONT=Verdana, sans-serif]SahihiMuslim 3721'' Mtume wa Allah alikuwa anapenda kunywa Pombe kwakutumia Bakuli ….'' [/FONT]
 

Sasa mbona kama unajijubu!!
 
Sa Jabril ni mtu au malaika?
 

Who was saying those words to Muhammad in the Quran? Was it Allah or Jibril? Be honest in your reply.



Now, show me a verse that shows Muhammad was repeating those words. There is none.

Please give me a verse that answers my prior request.
Did God Speak Directly To Jesus? He communicated with him through indirect speech. Only a man like Moses can speak to God. The Quran says what means:

{Allah talked to Moses.} (An-Nisaa' 4:164)

Or He communicated with them through indirect speech (revelation), like in the case of our Prophet Muhammad (peace be upon him). The Quran says:

{And unto you have We revealed the Scripture (Quran) with the truth confirming whatever Scripture was before it, and a watcher over it.} (Al-Ma'idah5:48)
 
Sasa mbona kama unajijubu!!
Hivi kujijibu au nimejibu, mnageuza ukweli kama mlivyo mgeuzia Yesu eti Mungu. Mungu wenu anachekesha sana katoka kwa mwanamke afu kanyonya, akacheza afu akaja kuwa Mungu sa na mama yake anamuita nani mwanae?
 
Yesu alikunywa Mvinyo pia usisahau; Mathayo 11:19 Mwana wa Adamu alikuja, akila na kunywa, wakasema, Mlafi huyu, na mlevi, rafiki yao watoza ushuru na wenye dhambi! Na hekima imejulikana kuwa ina haki kwa kazi zake.
Kumbe Mungu wenu alikuwa mlevi sa kama Mungu wenu mlevi nadhani bora mtafute Mungu asiye lewa.
Matthew 11:19 The Son of Man came eating and drinking, and they say, 'Here is a glutton and a drunkard, a friend of tax collectors and sinners.' But wisdom is proved right by her deeds."
Matthew 9:10 As Jesus went on from there, He saw a man called Matthew, sitting in the tax collector's booth; and He said to him, "Follow Me!" And he got up and followed Him. 10Then it happened that as Jesus was reclining at the table in the house, behold, many tax collectors and sinners came and were dining with Jesus and His disciples
 
Hawezi kukujibu. Maana akijibu tu, na yeye ataitwa Kafir. Yupo radhi aseme uongo kuliko kukujibu swali lako lililo enda shule.
Nimeisha mjibu hakuna sehemu sijamjibu labda yeye ni mlevi hafahamu tu. Labda nimsaidie tena sababu ya kuitwa Massih wa uwongo, kama hakufahamu kule Nampa tena dozi hii. Sababu ya kuitwa Massih wa uwongo ni sababu Massih Dijjal atafanya mambo Mengi sana ya ajabu kama Massih Issa ibn Maryam. Mfano wake atasema njoo mvua na itakuja, atamkata mtu nusu na atamrudisha tena kwenye uhai. Sa kitu gani tena anataka aseme kama sijamjibu.
 
Tatizo mlevi hata umfahamishe vipi haelewi, sababu kisha lewa.

Kama huna jibu si useme tu?

Nilichokuuliza ni kitu rahisi kabisa,kimsingi kuna sababu huyo akaitwa masihi fake,mimi ndio nataka kujua hiyo sababu ni nini,badala ya kunijibu umekuja na kuniita mlevi,kama kuuliza maswali ni ulevi sawa!
 
Nikipata muda nakuekea vifungu vya bible vinavyokataa Yesu kubeba dhambi zenu.

Cc: Eiyer.

Biblia ni kitabu ambacho kina utaratibu wake wa kukisoma ili ukielewe
Quran nacho ni kitabu ambacho kina utaratibu wake wa kukisoma ili ukielewe

Ukichukua utaratibu wa kusoma Quran na ukaupeleka kwenye Biblia na ukataka uelewe ni lazima utakwama tu

Kwenye Biblia Yesu anaitwa mkombozi wa Ulimwengu
Kwenye Quran hajulikani hivyo,huo ni ukweli

Nikitaka kulazimisha Q uran iseme kinyume na hapo nitakuwa mwendawazimu and vise versa!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…