Mpakaujiulize swali kamahili kuna kitu unakikosa maishani mwako hata kama hujui!!Yani hayajakamilika/hujaridhika/huna furaha na kuendelea!
Ningejibu swali lako ila sijawahi kufikiria kwanini naishi....NAFURAHI TU kwamba naishi!!
Hahahaa, hata mimi ndo nawaza hivyo hivyo.. Ila ndo najiuliza yaani tunaishi ili tufe, halafu Basi??Tunaishi ili tufe.
Tunaishi ili tufe.