kritika
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 410
- 1,156
Hakuna kitu kinawauma wanaume kama akuache halafu baada ya miaka kadhaa anakukuta upo kwenye level nyingine kimaisha,
Maisha ni kupambana mpaka Siku moja ex wako aje akuambie "Plz waambie ulishawahi kidate na Mimi, maana kila nikiwaambia hawaniamini".