Maisha

Maisha

kritika

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
410
Reaction score
1,156
Hakuna kitu kinawauma wanaume kama akuache halafu baada ya miaka kadhaa anakukuta upo kwenye level nyingine kimaisha,
Maisha ni kupambana mpaka Siku moja ex wako aje akuambie "Plz waambie ulishawahi kidate na Mimi, maana kila nikiwaambia hawaniamini".
 
Hili dong sio bure
 
Mwanaume huwezi ukajilinganisha na mwanamke! Wanawake mna added advantage nyingi kuliko wanaume. Kwahiyo kufanikiwa kimaisha kwa haraka ni rahisi kuliko wanaume
 
Hili dongo la hapahapa Jf

Weee kaka ukuje huku
 
Back
Top Bottom