Hili dong sio bureHakuna kitu kinawauma wanaume kama akuache halafu baada ya miaka kadhaa anakukuta upo kwenye level nyingine kimaisha,
Maisha ni kupambana mpaka Siku moja ex wako aje akuambie "Plz waambie ulishawahi kidate na Mimi, maana kila nikiwaambia hawaniamini".
Nikweli lakini, tena kama mliachana kwa ubaya ndio kabisaa maumivu mara sita yakeNdio hvyo
Sibishi....ukiachwa hasira za kutafuta maisha zinaonhezeka
ya zamani umeiacha?Zina nini?
fafanua mkuuMwanaume huwezi ukajilinganisha na mwanamke! Wanawake mna added advantage nyingi kuliko wanaume. Kwahiyo kufanikiwa kimaisha kwa haraka ni rahisi kuliko wanaume