AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Nimewaza sana.
Yaan mtu ghafla tu unageuka na kuanza kuishi maisha kama Vampire. Wewe sehemu salama kwako ni kipindi cha Giza nene tu lisilo na moto mkali au Mwanga wa Jua kali. Nimejaribu kuwaza zaidi. Hivi Mwenyezi-Mungu, Mungu muumbaji wa vyote kwa wanaoamini na wasioamini pia yeye ndie aliewa-create wanaomwamini na wasiomwamini kawaumba yaan hata hio vyote ameiumba yeye mwenyewe (hapo hata usinibishie), alituwekea Melanin akijua kwamba itatusaidia kipindi cha jua kali ni km sunlight UV rays protection, sasa inakuaje mtu ana Melanin lakini mwanga wa jua unamuunguza balaa mwisho anaanza kulikwepa jua na kuanza kuishi km Vampire, jua kali nyuzi joto 34 mpaka 37 ni jua kali wakuu.
Tukichukulia mfano joto la mwili kikawaida yaan tuseme hivi normal body temperature for adults please nieleweke hivyo ni nyuzi joto 36.5 mpaka 37.5 likizidi hapo ni unaungua unabidi uishi ki-Vampire lasivyo utaungua zaidi, ki-mfano joto la leo hapa nilipo ni nyuzi joto 34 km sijakosea ku-measure muda huu jua ni kali sana imagine joto la mwili normal body temperature ni 36.5 nikafanya reaction nimegusanisha na hio miale ya nyuzi joto 34 ya jua hali inakuaje hapo opposite reaction inakuaje hapo km sio fukuto na muwako mkali?
Vampire muda huu kajificha kwenye chumba chenye AC au feni inayompuliza balaa anasubiria jua lizame ndio atoke nje, muda huu nje hapatokeki kabisa Jua ni kali.
Huku nilipo Jua ni kali sana Wakuu. Jua linachoma kamakwamba tumeshafika kuzimu ndogo tunasubiria kuingizwa kwenye tanuru tukachomwe moto usiozimika mmoja mmoja kwa dhambi, wale wote watenda dhambi zisizothibitishwa kwamba kweli ni dhambi huu moto wa hapa duniani uwe fundisho Vampire's moto wa Jua unachoma je huo moto wa huko utakuaje?.
Hii taarifa na habari iwafikie ma-Vampire wote popote mlipo muda na wakati huu, ambao jua likiwagusa linawachoma vibaya sana km mmeguswa na moto wa Pasi ya Phillips na mnahisi kuungua km mmepachikwa kwenye sufuria ya bati jikoni.
Alamsiki.
Re: The UnderWorld Movies & Series.
Re: The Vourdalak (Le Vourdalak; 2023)