Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,286
- 39,418
Huku Mpaka Nipate Jimama lakunipeleka ila kwa hela zangu siwez kupoteza Mda huo
Pesa ya kwaida tu hiyo.
Hakuna mkuu, pesa mingi hio
Kwako mkuu, kwa wengine hiyo si pesa.Hakuna mkuu, pesa mingi hio
Kwangu na wewe ni nyingi, kwake ni ndogo maana laki mbili kitambaa cheupe haiwezi kuisha ukizingatia ni mwendo wa kiwingu tu mixer nyama choma, maison watu wanakamata classic spirit na wengi wao ni wasafiri akitoka pale jioni anakupigia yuko USA
nimedindisha kwa iyo pisi iliyotoa ulimi hapo juu
Sijaona Pisi Kali Hapo Ila Hayo Ni Makamanda Yanyoweka Dawa Kwenye Matiti,Ukinyonya Umelala Kwisha Habari Yako. Utazindukia TMJ Hospital Na Drip ZA Maji
sema hzo pisi za kawaida sanaa, ht micassa zinapatikanaaa [emoji1][emoji1][emoji1]