Maison club

hizi sasa ndio nyuzi za kuleta,nashukuru mleta mada.kwa mimi mnyonge siku nikipata laki 5 tu naenda kujilipua hapo😋
 
Huku Mpaka Nipate Jimama lakunipeleka ila kwa hela zangu siwez kupoteza Mda huo
mkuu😅,usijione mnyonge kiasi hiko,unaanza Geto kwako unapiga kama ni black and white,grands au hata vant mpk unachangamka then unaingia hapo na laki 5 tu,utarudi na change kesho yake
mimi mara ya kwanza kujilipua nilikuwa chuo nika spend laki na kwa usiku mmoja,tokea wakati huo kujilipua naona sawa tu,yani laki kwa mlevi ni kama noti ya elfu kumi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…