Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
20221228_185558.jpg
 
Siku 14 wanazika? Kenya huwa naona maiti zina hadi miezi 6 ndio zinazikwa, siku 14 ni chache sana
Labda rate ya watu kukata moto bongo ni kubwa sana ndo maana wanahisi wakiacha hadi hio miezi sita, miundombinu itazidiwa
 
Huwa nakereka sana na SERIKALI YATOA TAMKO! Serikali inatoa tamko kwa nani? Serikali inatoa taarifa, maelekezo, maagizo, nk. na sio tamko.
 
Kiswahili kigumu.
 
Kuzuia maiti kisa gharama za matibabu sio uungwana
 
Aisee watu wanakata moto sana watu 59 siyo mchezo kama ni ajali inatokea halafu vifo viwe 59 utaona ni kiasi gani ni wengi

Sasa hapo tumeambiwa ni ajali na wengine wameokotwa wamekufa tayari hiyo halmashauri ilitakiwa iende mbele zaidi kusema hao wengine walikufa kwa sababu gani na wanachukua hatua gani kupunguza hivyo vifo siyo kuishia kusoma vifungu vya kuwawezesha kuzika tu

Hilo jiji linatakiwa kuonyesha linafuatilia vitu in details na linachukua hatua stahiki kupambana nazo ili wageni wajue ni mahali sahihi na salama
 
Huwa nakereka sana na SERIKALI YATOA TAMKO! Serikali inatoa tamko kwa nani? Serikali inatoa taarifa, maelekezo, maagizo, nk. na sio tamko.
Kwa hio itoe maagizo ya mazishi iliyofanya ama?
Elewa muktadha
 
Ohoooo tunashindwa kutambuana, kwani DNA TESTS tumekwama wapi?dental formula nayo tumefeli, ndio maana hawafii au kuuguzwa Temeke Referral Hospital, kwao ni India, UK au Milpark!!!
 
Mafundisho yanasema tutafufuliwa pamoja, M/Mungu awalaze mahala pema amini
 
Kwa hio itoe maagizo ya mazishi iliyofanya ama?
Elewa muktadha
Kwenye post uliyo-quote umeona neno MAAGIZO tu sio? Neno TAARIFA hujaliona? Kwa hiyo Serikali imetoa TAMKO la mazishi! Crazy?
 
Aisee watu wanakata moto sana watu 59 siyo mchezo kama ni ajali inatokea halafu vifo viwe 59 utaona ni kiasi gani ni wengi

Sasa hapo tumeambiwa ni ajali na wengine wameokotwa wamekufa tayari hiyo halmashauri ilitakiwa iende mbele zaidi kusema hao wengine walikufa kwa sababu gani na wanachukua hatua gani kupunguza hivyo vifo siyo kuishia kusoma vifungu vya kuwawezesha kuzika tu

Hilo jiji linatakiwa kuonyesha linafuatilia vitu in details na linachukua hatua stahiki kupambana nazo ili wageni wajue ni mahali sahihi na salama
Acha uoga, watu 59 kwa mwaka waona wengi?

Tanzania kwa Mwaka hufa zaidi ya watu 200,000
Na huzaliwa 1,000,000+

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom