Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

Maiti 59 zilizozikwa kwa kukosa ndugu Serikali yatoa taarifa

DNA inahitaji Database au Ndugu waje kuchukuliwa Sampo ili zilinganishwe

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
I do know that, na nchi haina data base ya raia wake!,sitochangaa sana maana ndio nchi pekee hapa EA ambayo haina central system kwa raia wake, nchi tuna aina zaidi ya 5 ya IDs, eti ya kupigia kura kinatofautiana na NIDA
 
Kuna sehemu ndogo hapo naona hamna utu katika hili suala,, ndo maana nchi ni kama imelaaniwa
 
Hakuna hospital Afrika inakaa na mwili wa mtu ambaye hajatambuliwa kwa muda mrefu hivyo

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Acha uongo mkuu sio mzuri, the biggest hospital in Africa inakaa na maiti zaidi ya siku 200 ,hasa hizi za immigrants ambazo utambuzi wake ni wa shida,why uongope wakati hujafanya utafiti?,mimi nimefanya utafiti na upo kimaandishi
 
Hapo wanaposema wanazika kwa kuzingatia utu, staha na heshima ndipo walipoharibu.

Wale watu wanazikwa kama wanyama. Tena mizoga. Hakuna staha wala utu wowote.

Nilishaandika uzi kuhusu hali iliyonitokea hivi karibuni, waweza kujisomea pia
 
Tamko kuhusu sintofahamu iliyoibuka
Kate; Serikali inamtolea nani tamko? Mfano uliotoa unaangukia katika TAARIFA: UFAFANUZI.

Tamko hutolewa na upande "dhaifu" na kusubiri upande wenye "nguvu" uchukue hatua au ufafanue. Mf; Tamko la wanafunzi kuhusu hali ya ufundishaji. Tamko la wafanyakazi kuhusu mazingira ya kazi. Tamko la opposition kuhusu hali ya kisiasa, n.k. Itakuwa kichekesho eti uongozi wa chuo nao unatoa tamko kwa wanafunzi badala ya ufafanuzi au maelekezo.

Bahati nzuri hata heading ya thread mods wameshabadili inasomeka TAARIFA na sio TAMKO kama mwanzoni. I am ok with it now.
 
Back
Top Bottom