I do know that, na nchi haina data base ya raia wake!,sitochangaa sana maana ndio nchi pekee hapa EA ambayo haina central system kwa raia wake, nchi tuna aina zaidi ya 5 ya IDs, eti ya kupigia kura kinatofautiana na NIDADNA inahitaji Database au Ndugu waje kuchukuliwa Sampo ili zilinganishwe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Acha uongo mkuu sio mzuri, the biggest hospital in Africa inakaa na maiti zaidi ya siku 200 ,hasa hizi za immigrants ambazo utambuzi wake ni wa shida,why uongope wakati hujafanya utafiti?,mimi nimefanya utafiti na upo kimaandishiHakuna hospital Afrika inakaa na mwili wa mtu ambaye hajatambuliwa kwa muda mrefu hivyo
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Tamko kuhusu sintofahamu iliyoibukaKwenye post uliyo-quote umeona neno MAAGIZO tu sio? Neno TAARIFA hujaliona? Kwa hiyo Serikali imetoa TAMKO la mazishi! Crazy?
Kate; Serikali inamtolea nani tamko? Mfano uliotoa unaangukia katika TAARIFA: UFAFANUZI.Tamko kuhusu sintofahamu iliyoibuka