Maiti kutia mimba inakuwaje?

ndo nakumbuka lile tangazo la maralia baba aalivo mwambia mwanae "hili jambo ni lakitaalam sana mwanangu"
 
Hili swala lako nalifananisha na issue mmoja nilipata kuisikia zamani kidogo yapata 25 years back,

Eti Kuna Jamaa alifariki akiwa amesimamisha Uume wake. Sasa wakati anaoshwa (Jamaa alikua Muislam) wale waoshaji wakastuka kuona kitu kimesimama hakilali asilani na Jamaa ashafariki,
Sasa eti ikabidi wakubaliane wamuite Mkewe na Marehemu wakawafungia mahali, mke akaanza "kuishughulikia" mpaka Marehemu akafika kileleni ndio kitu kikalala,

Hii story niliisikia kijiweni tu wakati huo, pengine yalikua tu "Mastory ya Town",
 
du huy hakufa
 


100% Umemaliza Kila Kitu Sina Cha Kuongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…