Maize shortage in Kenya

Maize shortage in Kenya

Sipati picha magu ndio hivyo alisha agiza wakuu wa mikoa kuzuia chajula kutoka nje ya mkoa

wafunge tu, wakulima wenyu ndio watakao kuwa affected bei ikianguka kwa kuwa soko itakua ndogo, ama vyakula vitaozea shambani. Mchezo huu hauhitaji hasira.
 
Don't you think it's a good thing for you guys? Though it wont last forever, considering the large irrigation projects the jubillee gvt has initiated, y'all fruits should take advantage.
keep dreaming, u will remain to be dependent on us for the next 10 years!
 
Geza Ulole hivi uelewa inakuhata au haikufahamu kamwe?? Yaani ukisoma hiyo taarifa kwa undani, utagundua kuwa wakenya mahitaji ya mahindi yamezidi uzalishaji. Na nyinyi wabongo kwa kusuasua hamjambo, hamjui kutarajia, fursa hamuwezani nazo, itabidi mpaka tuende SA, lakini wao pia itabidi wayahifadhi yao sababu ya kiangazi southern africa. Hivi unasoma habari zozote lisilohusiana na umbea au fast jet? Jaribu kupanua akili, jifahamishe na vingi nje ya taaluma yako, utajinasua na matamshi ya ubunifu.

Hili linanikumbusha miaka ya tisini ambapo nchi nyingi za afrika kusini, kati na mashariki (The Ugali Zone of Africa) yalijipata kwenye ukosefu wa mahindi ghafla. Mjamaa, tulikula mahindi yellow. Uliwahi kula mahindi yellow?? Hilo mahindi ilitoka USA baby, na hatujawahi kuliona tena. Why? Mikakati yaliwekwa. Sera na mikakati kwa sekta ya kilimo. Unaweza pia kufananisha na jinsi urusi mara kwa mara wanaagiza ngano kutoka marekani na canada pindi zao lao ikifeli sababu ya baridi kali isiyotarajiwa.

Fursa murwa hapa kajitokeza, geza na wenzake na usingizi mnono, hawalifahamu, hawalijui, litawatoroka.

Cc: Wafanyi biashara wa nafaka.
 
Magu mwagize mkuu wa mkoa wa Arusha azuie mahindi tuuze unga maana hawa jamaa wametuchosha na finished goods kwenye supermarket zetu, na sisi tupeleke finished goods yaani unga.
 
Magu mwagize mkuu wa mkoa wa Arusha azuie mahindi tuuze unga maana hawa jamaa wametuchosha na finished goods kwenye supermarket zetu, na sisi tupeleke finished goods yaani unga.
packed maize in 1 kgs!
 
There will only be a problem when we run out of maize and run out of money to buy maize. Basing on the retarded logic of Geza Ulole MOTOCHINI game over bagamoyo et al, kuishiwa na unga kwa nyumba ni kufilisika. Hata kama una milioni mia moja kwa benki, ukiishiwa na unga kwa nyumba umefilisika.
 
There will only be a problem when we run out of maize and run out of money to buy maize. Basing on the retarded logic of Geza Ulole MOTOCHINI game over bagamoyo et al, kuishiwa na unga kwa nyumba ni kufilisika. Hata kama una milioni mia moja kwa benki, ukiishiwa na unga kwa nyumba umefilisika.

Kenya to Import Tanzanian maize as Stocks Lacking, Millers Say

23.06.2016
Kenya plans to import corn from neighboring Tanzania because the nation doesn’t have sufficient supplies to meet its needs, the Cereal Millers Association said.

“We don’t have enough maize in Kenya,” CMA Chairman Nick Hutchinson told reporters Wednesday in the capital, Nairobi, using another term for corn. The association has about 500,000 90-kilogram (198-pound) bags in stock, which covers seven days, he said. The Tanzanian grain will arrive in a few weeks, and the purchases will be by traders, he said. The nation has 2.5 million bags in reserves compared with monthly consumption of 3 million, the Agriculture Ministry said last week.

Millers in Kenya, which has East Africa’s biggest economy, have rejected about half of corn received this year mainly because of aflatoxin, Hutchinson said. The toxic chemical is caused by fungus, according to the United Nations’ Food and Agriculture Organization. The naturally occurring carcinogen can result from improper storage conditions and costs the continent’s farmers as much as $670 million annually, according to the African Union’s Partnership for Aflatoxin Control.

Kenya is also looking to the harvest in July and August, as well as imports from other countries in the East African Community, to balance the deficit. About 50 million people are food-insecure in the eastern and southern parts of the continent after crops were hit by El Nino-induced droughts, the United Nations’ Office for the Coordination of Humanitarian Affairs said this month.

Wheat production may climb 8.5 percent in 2016 to 300,000 metric tons from a year earlier, Hutchinson said. Kenyans consume 1.75 million tons annually, and demand is growing at 15 percent a year, he said.


bloomberg
 
Njaa imepiga hodi wapi? kwani chakula cha wakenya mahindi tu? Hawa wasee vipi? Ni education system ama ni ujinga wa kuridhi?

Mnaowaita wajinga na wavivu ndio hao hao wanaowalisha.
 
Xplorer, the funny thing Kenya has a Muzungu (Mr Hutchinson) as their cereal millers association chairman n yet hunger is looming! What a slumber nation...hunger is a chronic disease to Kenyans who claim to be middle income country.
 
1 Africa, u depend from us for all sort of cereals rice, sorghum n millet. Ask ur brothers that travel all the way to southern highlands Sumbawanga, Mbeya and Iringa! Na hata sunflower seeds toka central regions of Dodoma na Singida!
So why are you telling me this?
 
1 Africa, u were yapping u hav alternative the reality is u will hav to come to us for any of ur needs as far as cereals n pulses r concerned. Only Miraa is an exception, since Kenya produces in excess!
 
Watanzania kuelewa ni ngumu, Kenya kununua mahindi kwenu doesnt mean we are at your mercy.
Hivi wewe ukienda dukani kununua chakula ni mwenye duka ndo anakulisha ama unakula kwa pesa zako?
Na btw, upungufu wa mahindi hakuashirii njaa, it just means our production cant sustain the consumption.
 
1 Africa, u were yapping u hav alternative the reality is u will hav to come to us for any of ur needs as far as cereals n pulses r concerned. Only Miraa is an exception, since Kenya produces in excess!

ha ha ha haaa....shame that Uhuru is busy appointing team for miraa development while wananchi wake wanakufa kwa njaa.
 
1 Africa, u were yapping u hav alternative the reality is u will hav to come to us for any of ur needs as far as cereals n pulses r concerned. Only Miraa is an exception, since Kenya produces in excess!
So did I lie about having alternatives... Stop being such a baby.
 
Xplorer Hilo la wakenya kufa njaa lilipitwa na wakati hutawahi lisikia tena. Uhuru is doing a lot actually in terms of food security, wait for the Galana project to come online hapo ndipo utajua alot was in the kitchen, sio tu infrustructure.
 
Xplorer Hilo la wakenya kufa njaa lilipitwa na wakati hutawahi lisikia tena. Uhuru is doing a lot actually in terms of food security, wait for the Galana project to come online hapo ndipo utajua alot was in the kitchen, sio tu infrustructure.

if your smart enough usingeweza kufikiria kabisa kwamba a Ksh 7bn Galana project ndio itakuwa solution of your food woes,by the way kwa upande wetu tunahakikisha kila mtu anayo maji ya kutosha kwenye shamba lake through this project.......

India Govt avails 268bn/- for Lake Victoria-Tabora water pipeline
LUDOVICK KAZOKA 11 APRIL 2016

TANZANIA has acquired 268bn/- from India for the extension of a water pipeline from Lake Victoria to Tabora Region, the Permanent Secretary (PS) in the Ministry of Water and Irrigation, Engineer Mbogo Futakamba, has disclosed.

The mega-project that is aimed at making water woes in the region a thing of the past is planned to kick off in July, this year and will be completed within 18 months.

“The government has already finalised feasibility study for the project aimed at addressing water scarcity problem in Tabora Region,” the PS told the ‘Daily News’ in an exclusive interview.

Eng Futakamba said the 18-month project would be jointly carried out by the governments of India and Tanzania, saying the water pipeline would be connected from Kahama District in Shinyanga Region.

“Urambo District will be connected with water supply service from Malagarasi River while other districts in the region will be supplied with water from Lake Victoria,” observed the PS.

Unveiling the water national board early last week, Water and Irrigation Minister Greyson Lwenge directed the new national water board to ensure Tanzanians have access to the precious liquid by 95 per cent in urban centres and 85 per cent in rural areas by 2020.

“A total of 1,800 water projects are currently in progress to curb the current shortage,” he said when inaugurating the second water national board since its establishment in 2011.

He said that the government is preparing a water resource management programme to be executed in all basins, adding that it would soon conduct strategic environmental assessment in said basins.

Eng Futakamba said the main role of the board is to advise the minister responsible for water in integrated water resources management and development plans.

“The water national board shall advise the water minister in addressing water disputes with national or international aspects,” he said, noting that the previous board has registered achievements in the protection of catchment areas.
 
How the hell will Ksh. 13billion be enough to ensure every Tz has water??
 
Back
Top Bottom