Majabu yanayofanywa na chuo kikuu cha ST. Joseph Ruvuma Songea

Joined
Nov 9, 2014
Posts
20
Reaction score
5
chuo kikuu cha mt. joseph kilichopo songea kina maajabu mengi na miujiza lukuki,
kwa mfano,1- first year 2014 walisain 663,000 tshs wamepewa 200,000 wahindi wanadai hiyo ndo ela iliyotoka loan board wakat wote tunajua huo sio ukweli

2- elimu ya kilimo inayotolewa hapa ni bure kabisa hamna chochote, jina la kozi halisadifu yaliyomo wanagawa maGPA makubwa makubwa mfano mtu wa mwisho ana GPA ya 4.0 wakat vyuo vingine kuipata 3.5 mtu anatoa kamasi
hivyo ni baadhi tu hawa jamaa(wahindi wako kwa ajili ya hela, mfano hapa kuna break system mtu akibreak anakaa nyumban mwaka mzima lakin cha kushangaza matokeo loan board yanakuwepo na hela inatoka bila mwanafunzi kujua kwa hawa jamaa(wahindi) wanatengeneza matokeo ndio maana watu wanapata maGPA lundo

NB: serikali isipokuwa makini na vyuo kama hivi product zitakazotoka hapa kuanzia 2016 na kuendelea kilimo kwanza sijui kama tutafika

ni hayo tu ya kwangu
 
mi nimejaribu kushare baadhi ya mambo ili watu wenye ufahamu wapate kutambua maudhi ya st.joseph
 
mi nimejaribu kushare baadhi ya mambo ili watu wenye ufahamu wapate kutambua maudhi ya st.joseph
Kaka upo sahihi kabisa kati ya vyuo vibofu chuu hiki n cha kwanza unajua hawa WAHINDI. wapo kwa ajili ya pesa mfano mnzuri chuo cha IMTU N hawahawa wahindi wana toa elimu ya kubabaisha.

Cha kushangaza IMTU wamekishungulikia ila hichi cha Ruvuma hata kuguswa wameshida NB. Serikari isipo kuwa makini hawa wahindi wata halibu elimu ya tanzania. Maana wapo kwa ajili ya hela na si kutoa elimu
 
Hicho chuo majanga kuna watu walipangwa kozi hapo kufika kureaport eti haipoo
 

Tukisema vyuo vya kata hivyo watu wanakasilika.
umenishtua hapo kwenye GPA tu,NAWATAMANIA
 
Muhindi ni mtu asiye na maana kabisa, hasa linapokuja suala la pesa hata ukifuatilia taasisi zao zote sio vyuo vikuu tu. Na kwa nchi yetu ilivyojaa ubabaishaji na rushwa hawa jamaa wataharibu sana tu.
 
Aaah mi cjui bhana kwanza kuhusu mkopo mi cpatagi
But anachosema ni
sahihi ila cc wa IT tulishagomaga kipindi kile kisa madai hayo afu wakatupa supplimentary chuo kizima ,hatuna hamu tena ya kugoma
 
Ni maelezo ya mmoja wa wanachuo hicho
 
hawa jamaa basi tu tunaripoti chuo na akili zetu alaf baada ya miaka minne tunatoka vilaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…