likilaza la dmi
Member
- Nov 9, 2014
- 20
- 5
chuo kikuu cha mt. joseph kilichopo songea kina maajabu mengi na miujiza lukuki,
kwa mfano,1- first year 2014 walisain 663,000 tshs wamepewa 200,000 wahindi wanadai hiyo ndo ela iliyotoka loan board wakat wote tunajua huo sio ukweli
2- elimu ya kilimo inayotolewa hapa ni bure kabisa hamna chochote, jina la kozi halisadifu yaliyomo wanagawa maGPA makubwa makubwa mfano mtu wa mwisho ana GPA ya 4.0 wakat vyuo vingine kuipata 3.5 mtu anatoa kamasi
hivyo ni baadhi tu hawa jamaa(wahindi wako kwa ajili ya hela, mfano hapa kuna break system mtu akibreak anakaa nyumban mwaka mzima lakin cha kushangaza matokeo loan board yanakuwepo na hela inatoka bila mwanafunzi kujua kwa hawa jamaa(wahindi) wanatengeneza matokeo ndio maana watu wanapata maGPA lundo
NB: serikali isipokuwa makini na vyuo kama hivi product zitakazotoka hapa kuanzia 2016 na kuendelea kilimo kwanza sijui kama tutafika
ni hayo tu ya kwangu