Wapendawa wanasheria wa JF naomba muipitie hukumu hii ya Mheshimiwa muone aliyokuwa akiyasema Tundu Lisu. Tuainishe mapungufu/nguvu (weakness/strength) ya hukumu hii, bila kutukana bali kupata ukweli na kujifunza. Sijui kama iliombwa rufani maana inawezekana tukaingilia uhuru wa mahakama.