CJ Nyalali huwezi kumlinganisha na hizi excreta za watawala. Tena alikuwa CJ wakati wa mfumo wa chama kimoja!Msilete udini hapa
Hao nyalali na warioba ni walewale ccm
CJ Nyalali atabaki kua CJ Nyalali nikiwa hapa Nyalali Square nawasilisha wakuuCJ Nyalali huwezi kumlinganisha na hizi excreta za watawala. Tena alikuwa CJ wakati wa mfumo wa chama kimoja!
Kuna chochote alikifanya wakati wa nyerere zaidi ya kuunga mkono sera zake za ukandamizaji zinazoendelea mpaka leoCJ Nyalali huwezi kumlinganisha na hizi excreta za watawala. Tena alikuwa CJ wakati wa mfumo wa chama kimoja!
Kazi ya Tume ya Nyalali mpaka leo inaendelea kurejelewa na wanazuoni na kila mpenda haki wa nchi hii.Kuna chochote alikifanya wakati wa nyerere zaidi ya kuunga mkono sera zake za ukandamizaji zinazoendelea mpaka leo
We jamaa unapenda udini kuliko uhalisia wa jambo. Hajatajwa mtu kwa dini yake tayari ushakurupuka kuibadirisha mada iwe ya udini badala ya kujadiri michango ya hao majaji ndani ya nchi wakati wakilitumikia taifa. ACHA UDINI!Msilete udini hapa
Hao nyalali na warioba ni walewale ccm
Ukitaka mkujua shughuli za huyu unayemtaka hapa bila kuwa na taatifa, muulize Wassira.Kuna chochote alikifanya wakati wa nyerere zaidi ya kuunga mkono sera zake za ukandamizaji zinazoendelea mpaka leo
Juma & Chande
Ukiacha kutetea CCM hawa majaji hawajalifanyia chochote cha maana kwenye uongozi wao badala yake wamegeuza mahakama kuwa chombo cha kisiasa kwa kujali matumbo yao na kuuza mahakama kwa serikali.
Wenzao waliopita wenye majina ya majaji walikuwa wanaheshimika sana kama wapigania haki sio matumbo. Sasa mahakama zao zimekalisha wabunge fake kwa miaka mitano bungeni!! Lissu yupo jela kwa kesi inayoenda zaidi ya mwaka bila ushahidi wa maana.
Polisi hawashitakiki , CCM kila inachofanya kipo kisheria na wamejaza majaji wabaya wanasiasa bila kuwapa adhabu!. Leo eti wanashangaa kutukanwa bila kujua wenyewe ni janga la taifa