Johas
Senior Member
- Feb 13, 2009
- 141
- 32
Hawa jamaa bwana., Mimi sikuzote nawaona wababaishaji tu! kwanza, tujiulize zile products zao za mwaka juzi na jana i.e. jumanne iddy na Misongi wako wapiiii? wametoka kwenye GAME?? wanaendeleza GAME?? Hao ndio waliochaguliwa kuwa best lakini they prove failure! badala yake tunawaona wakina Fesal ismail na yule binti wakitoka kibingwa katika Game.BSS imechoka kwisha kbs, hoi bin hui, uh! mh! majaji wenyewe ni WANAHASIRA SANA waige mfano wa NAIJA SINGS na TUSKER PROJECT FAME wanagombana hovyo, kuna kijana 1 kama sikosei ni Kelvin walimtosa kwenye audition namwona tusker project fame anajitahidi japokuwa hana confidence mpaka wamemweka kwenye probation.
Katika BSS ya mwaka huu mambo ni yaleyale hakuna cha ajabu, zaidi ni ujinga mtupu na kukosa mwelekeo kwa majaji mpaka wanafikia hatua ya kugombana na kutoelewana hadi wanafikia hatua ya kutupiana maneno makali na hii yote inatokana na Ma-jurge kuwa na ile kitu inaitwa " They tune to personal interest!, kuliko uhalisia wa kazi yao as jurges. For surely.,kama unafuatilia kwa makini utaona hawa Ma-jurge wamegawanyika kutokana na kuwa na ushawishi au ushabiki mkubwa kwa baadhi ya washiriki, hii inachangia kwa kiasi fulani kutotenda haki kwa baadhi ya washiriki wengine., Mfano. kuna mshiriki mmoja yeye anapewa`positive credit` na ma-jurge kila anapofanya onyesho lake hata kama anakuwa `OUT OF THE GAME` siku hiyo, lakini mshiriki mwingine akifanya vizuri siku hiyo utasikia baadhi ya jaji akisema...," MIMI SIKU ZOTE SIKO KWENYE NDEGE YAKO" Wat kind of jurgement is that??. This is a shiiiit..,the whole idea is a shit!! better dust it off and try again.Kipindi kina tu-bore ki-ukweli.Nawakilisha wakuu.