Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
Mkuu aibu tupu basi hata kiunafiki wangetoa droo sio kumpa mfaume direct win.Yaani aibu, hata mfaume mwenyewe anshangaa kashindaje.
Mkuu Kuna vitu vya kubeba lakini sio pambano la leoMcheza kwao hutunzwa ila mwamba kapigwa
😀😀 Aibu tupu labda ni maagizo kutoka kwa mama.Nilitamani niwaibikie pale leaders japo wachezee makofi kwanza
Roho ya Samia na ccm imewatawala watu 80% nchi hiiNimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
Bondia WA mama, au hukuiona t-shirt 👕 aliovaa inapicha gani
Sio bure mkuu wanapewa maburungutu ya pesa ambazo ni kodi zetu.Roho ya Samia na ccm imewatawala watu 80% nchi hii
Its was very shame uyo Mfaume kapigwa round zote kila mtu ameona hao majaji kuna namna imefanyika kwenye upangaji matokeo ikiwezekana hilo lichunguzwe aibu sana aise
Wapumbavu sanaSio bure mkuu wanapewa maburungutu ya pesa ambazo ni kodi zetu.
Huyu si Mmalawi wa kwanza kudhulumiwaNimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
Mfaume kila siku anabondwa anaishia kubebwa na majaji.Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.