Majaji wa pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi hamna akili

Majaji wa pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi hamna akili

Mara ya mwisho kuangalia huo ushuzi ni ile siku yule mjeda kadundwa na Yule dogo wa south mpaka aibu af majaji wakaamua game sare. Wtf.!!
selemani kidunda kutoka JWTZ alichapwa kama pweza Qbababake matokeo yakasemwa ni sare what the fvck!.
 
Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
Dawa ya kuondoa utata na uonevu kwenye maamuzi ya ndondi ni kumpiga mtu knockout tu!
 
Back
Top Bottom