Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,871
- 7,347
- Thread starter
-
- #21
Mkuu na mimi Leo ndio mwisho hata hilo pambano la ibra class nimeacha kuliangalia, ni UMAKU tuu.Mara ya mwisho kuangalia huo ushuzi ni ile siku yule mjeda kadundwa na Yule dogo wa south mpaka aibu af majaji wakaamua game sare. Wtf.!!
😆😆😆 Huyo alipigwa pia na mkongo akaokolewaMara ya mwisho kuangalia huo ushuzi ni ile siku yule mjeda kadundwa na Yule dogo wa south mpaka aibu af majaji wakaamua game sare. Wtf.!!
😆😆😆😆Majaji wa mama.
Angalia ngumi wewe NASSIB RAMADHANI ANABONDA MTU HUKUMkuu na mimi Leo ndio mwisho hata hilo pambano la ibra class nimeacha kuliangalia, ni UMAKU tuu.
Majaji wa MamaAngalia ngumi wewe NASSIB RAMADHANI ANABONDA MTU HUKU
Huyo ibra huoni kama anapigwa mkuuMi naona kama wanabondana hawa, wanaweza toka droo kama hakutakuwa na knock out
Waliogopa ile flana aliyoivaa mfaume 😀😀😀 Aibu tupu labda ni maagizo kutoka kwa mama.
Hapana wanabadilishana vitasa hawaHuyo ibra huoni kama anapigwa mkuu
Sio hamna akili tu bali ni weziNimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.
Na ndo iliyomletea nuksiWaliogopa ile flana aliyoivaa mfaume [emoji3]
😀😀😀Na ndo iliyomletea nuksi
Wametoka dro kama nilivyosemaTupeni matokeo sasa...
Aaah nmechokaaa yan hata layman anaona PAC MAN kashinda wao wameiweka katiMajaji wa Mama
selemani kidunda kutoka JWTZ alichapwa kama pweza Qbababake matokeo yakasemwa ni sare what the fvck!.Mara ya mwisho kuangalia huo ushuzi ni ile siku yule mjeda kadundwa na Yule dogo wa south mpaka aibu af majaji wakaamua game sare. Wtf.!!
Dawa ya kuondoa utata na uonevu kwenye maamuzi ya ndondi ni kumpiga mtu knockout tu!Nimeangalia pambano la mfaume na bondia kutoka Malawi anaitwa somebody banda aisee hadi aibu, mfaume kapigwa round zote lakini ushindi kapewa mfaume IDIOTS. Majaji hamna akili mnaleta siasa mpaka kwenye boxing aibu tupu.