Veteran Sailor
JF-Expert Member
- May 28, 2025
- 2,042
- 4,416
Nilitamani tu kufahamu kama huyo Patrick Nyembera ni mkufunzi/mwamuzi wa huo mchezo, au ni mtangazaji wa habari, na pia mchambuzi tu wa hapa na pale wa michezo.Aisee... Na mimi nimeshangaa sana.... Ushindi ni wa Banda,... Mfaume kabebwa waziwazi....
Patrick Nyembera wa Azam TV naye amesema waziwazi kwamba Mfaume ni hamna kitu
Alikuwa anafanya uchambuzi na mwenzake Mlimilwa, pamoja na bondia Mmoja mstaafu... Jina nimesahau.... Wote kwa pamoja walikiri kwamba Mfaume alielemewa katika raundi zote...Nilitamani tu kufahamu kama huyo Patrick Nyembera ni mkufunzi/mwamuzi wa huo mchezo, au ni mtangazaji wa habari, na pia mchambuzi tu wa hapa na pale wa michezo.