OPTIMUS TZ
JF-Expert Member
- Jan 30, 2012
- 391
- 65
Majaji wa mahakama kuu ya tanzania na wale wa mahakama ya rufaa ndio wanaoongoza kula raha dunia kama ifuatavyo;
nawasilisha jamvini
- tarehe 15 desemba mapaka 31 januari huwa wanakwenda likizo ya xmas siku 45 mguu juu na pesa mfukoni
- ifikapo pasaka wanapata 7 days ester vacation (likizo ya pasaka)
- kila moja ana likizo ya siku 28 kwa mujibu wa sheria
- kwa sasa wamefunga mahakama kwa siku 7 wako arusha semina
- bado hawajugua /mh hajisikii vizuri wape siku 7 kwa mwaka
- mh hawajafiwa wape siku 5 tu kwa mwaka
- kuna ziara za kikazi nje na ndani ya nchi wape siku 7 tu kwa mwaka
- sija kumbusha sikukuku za kitaifa pamoja na za kiislamu kwa mwaka kwa mujibu wa akalenda yangu ziko 15
- usisahau shimiwi michezo ya watumishi wauma wiki mbili siku 14 kwa wale wanamichezo**
- mwaka una jpili na jmosi 96, unabaki na siku 269. Toa 45 + 7+28+7+7+5+7+15=121
- siku 269- 121 =148 hizo ndio siku za kazi za waheshimiwa tena wale wasio wategaji
- kwanini makesi yasirundikane mahakamani ni wafanyakazi gani wengine wa serikali wanaopata starehe kama hizo
- polisi wanakesha vituoni , madaktari wako wodini usiku na mchana: Fikiria madokta waende semina wote tanga siku tano.imefika mahali tuambiane ukweli na lissu akisema mwacheni aseme mahakama ni kero kubwa nchi hii.
nawasilisha jamvini