Majaji wala raha duniani

Majaji wala raha duniani

OPTIMUS TZ

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2012
Posts
391
Reaction score
65
Majaji wa mahakama kuu ya tanzania na wale wa mahakama ya rufaa ndio wanaoongoza kula raha dunia kama ifuatavyo;

  1. tarehe 15 desemba mapaka 31 januari huwa wanakwenda likizo ya xmas siku 45 mguu juu na pesa mfukoni
  2. ifikapo pasaka wanapata 7 days ester vacation (likizo ya pasaka)
  3. kila moja ana likizo ya siku 28 kwa mujibu wa sheria
  4. kwa sasa wamefunga mahakama kwa siku 7 wako arusha semina
  5. bado hawajugua /mh hajisikii vizuri wape siku 7 kwa mwaka
  6. mh hawajafiwa wape siku 5 tu kwa mwaka
  7. kuna ziara za kikazi nje na ndani ya nchi wape siku 7 tu kwa mwaka
  8. sija kumbusha sikukuku za kitaifa pamoja na za kiislamu kwa mwaka kwa mujibu wa akalenda yangu ziko 15
  9. usisahau shimiwi michezo ya watumishi wauma wiki mbili siku 14 kwa wale wanamichezo**
  10. mwaka una jpili na jmosi 96, unabaki na siku 269. Toa 45 + 7+28+7+7+5+7+15=121
  11. siku 269- 121 =148 hizo ndio siku za kazi za waheshimiwa tena wale wasio wategaji
  12. kwanini makesi yasirundikane mahakamani ni wafanyakazi gani wengine wa serikali wanaopata starehe kama hizo
  13. polisi wanakesha vituoni , madaktari wako wodini usiku na mchana: Fikiria madokta waende semina wote tanga siku tano.imefika mahali tuambiane ukweli na lissu akisema mwacheni aseme mahakama ni kero kubwa nchi hii.

nawasilisha jamvini
 
Miungu wa dunia!
 
na hivi Lissu alisema wanateuliwateuliwa tu, ngoja nijipendekeze kwa baba ake miraji aniteue halafu ndo nijiunge open university kupiga sheria, najua kwa Tanzania hii inawezekana
 
Mtu kama huyo Jaji anayesoma hata mitihani atapewa bure nina wasiwasi maana hawezi faulu mitihani kamwe! Hivi yupo mwaka wa ngapi?
 
analolisema ni la kweli. no wonder karibia wote wakifika kuanzia 55 yrs lazima akatibiwe nje, au kisukari na pressure aziwaishii, wanakufa mapema kuliko watu wengine. wanawaza kula tu hawafanyi mazoezi wala nini, kujifungia ndani hata kwenda kustarehe mitaani hawaruhusiwi....ni kazi mbaya kuliko zote.
 
Back
Top Bottom