nguvumali
JF-Expert Member
- Sep 3, 2009
- 4,924
- 1,334
HABARI zilizopatikana hivi punde kutoka Kenya, zinasema kuwa Mahakama Kuu imeamuru kuondolewa kwa sheria iliyoanzisha Mahakama ya Kadhi Nchini Kenya kwa sababu inakiuka misingi ya kuishi kwa utengamano ndani ya nchi hiyo na haki ya kuabudu ya wengine, kama wanataka mambo hayo ya kadhi ni vyema wakajianzishia wenyewe vimahakama vyao badala ya kutaka katiba ama sheria ya nchi itambuE uwepo wake.
Habari hiyo iliyosomwa na Dina Gahamanyi wa BBC haijafafanua zaidi...ila mambo ya Kadhi nchini Kenya ni marufuku.
Habari hiyo iliyosomwa na Dina Gahamanyi wa BBC haijafafanua zaidi...ila mambo ya Kadhi nchini Kenya ni marufuku.