Majaji wapendekeza Mahakama ya kadhi kufutwa Kenya

Majaji wapendekeza Mahakama ya kadhi kufutwa Kenya

hoja hii unailinganisha miti ya x mass, una uhakika wakati wa idd hayawekwagi mapambo yanayo ashiria idd katika maofisi ya umma

kazi unayo na huyo mdau.....mikrismas tree kati ya hoja nzito.
 
kwahiyo wewe unaona ni hekima kutumia pesa za walipa kodi kuhudumia maswala ya Mohamwedi na wafuasi wake, ama maswala ya Wakristo . ? nawasio na dini je , tuache kupenda dezo, hayo ya kadhi yaishie kwenye milango yenu ya misikiti, mnatuletea mambo ya ajabu ajabu tu.. pesa ya umma ihudumiae umma.

..Wakristo,Waislamu, wahindi,Mapagan, Athesits....wote ni umma.

Meanwhile do you know the reason why the Kadhis Courts are included in the Kenyan
Constitution?

Next.
 
..Wakristo,Waislamu, wahindi,Mapagan, Athesits....wote ni umma.

Meanwhile do you know the reason why the Kadhis Courts are included in the Kenyan
Constitution?

Next.
hapo ndipo mi napataka , kwahiyo kwanini pesa yangu mimi nisie muislamu itumike kulipia shughuli zenu binafsi ambazo hazinipi faida yoyote ? AB , mAHAKAMA Ya Kadhi daima ndugu Waislamu wamekua wakidai ni haki yao na ni sehemu ya ibada... sasa nani kawakataza ? anzisheni tu misikitini, kwanini mnataka mfumo wetu wa kisheria itambue ibada yenu.? wewe katiba imekuruhusu kuswali sijui kusali sasa endelea na mabo yako yote na kazi zako zoote za msikitini bila kutushirikisha tusio abudu nanyi.
 
Nguvumali,

Heshima mbele natanguliza.

Hapo juu umeuliza swali zuri sana nami nitakuuliza Je kwa nini kodi yetu kama waislamu itumike kulipa
walimu wanaofundisha Christian Religious Education katika public schools?

Kisha kwa taarifa yako kodi ya wananchi haitumiki kujenga misikiti.Hapo tunaanza kudanganyana iwapo tutazidi kusema hii story.Its not true.

Personally I do not believe that Taxpayers money should be used to front for ANY religion. Nielewe hapo.

Tuendeleze mjadala.
 
Maoni ya Mkuu wa Sheria Amos Wako:

Kadhis: AG disapproves judges' ruling amid fury from Muslims

nhcap260510_00.jpg

Attorney General Amos Wako: ‘The court lacked jurisdiction, the judgment is wrong in law. I have ordered Notice of Appeal to be filed' immediately'

By Standard Team

Except for ecstasy in Church and the ‘No' camp, two words sum up reaction to ruling by three judges Kadhi's Courts are illegal - outrage and defiance.

As a storm set off by the ruling that inclusion of Islamic family courts in the Constitution was discriminatory against other faiths spread, Attorney General Amos Wako declared the ruling unconstitutional and filed a notice of appeal

Orange Democratic Movement, through its Secretary General Prof Anyang' Nyong'o spoke defiantly about the ruling and declared the three judges were part of the anti-reform brigade.

Muslims fought back arguing the Constitution is clear family matters such as marriage and inheritance cannot be discriminatory.

Sources revealed the ‘No' camp, though happy with the ruling since it could help its cause even though it was on a separate reform process, decided to adopt a wait-and-see approach.

"They see a congruence between the ruling and the attempt to sneak in amendments to the Draft while at the Government Printer, and do not want to be seen to be part of it. They are also surprised,'' said a source familiar with the camp led by Higher Education Minister William Ruto.

Wako said the Justices Joseph Nyamu, Roselyn Wendoh and Anyara Emukule did not have powers to make such a ruling.

Wako, who is in London, sent a terse statement to newsrooms saying the judges were wrong and were setting a bad precedent for the nation.

He also assured Kenyans the current review process was shielded from the decision made by the Judges on Monday that the inclusion of Kadhis' Courts in the constitution amounted to separate development of one religion and religious practice.

President Kibaki's Party of National Unity and ODM called on Kenyans to ignore the ruling, saying it would not disrupt reform process.

Muslim leaders said the ruling was faulty and claimed the judges ‘conveniently' ignored provisions of the same section they quoted that says issues of divorce, adoption, marriage and inheritance are excluded from the definition of discrimination.

Kadhi's Courts deal with issues of marriage, divorce and inheritance among Muslims.

Vice President Kalonzo Musyoka described their judgment as shocking and urged Kenyans not to panic. The VP who spoke to Press after chairing a PNU coalition parties meeting said the timing of the decision was suspect but added the ruling will not affect enactment of a new constitution.

He said the Kadhis' Courts owe their existence to historical agreements and their existence should not be used to cause divisions.

Nyong'o described the judges as anti-reformist. "It is not the business of the Judiciary to determine what goes into the constitution and any attempt by anti-reform judges will not affect the review process," he said.

Speaking after chairing a joint PG and National Executive Council meeting at the party headquarters in Nairobi, the Medical Services Minister said: "To us, that ruling is politically motivated and made by enemies of the reform agenda," said Nyong'o. He said ODM fully supports the AG's move to appeal the decision.

Cabinet Minister Mohammed Elmi and Assistant Minister Adan Duale said the ruling was ill-intentioned and questioned its timing. "It is clear that those who made the ruling wanted to create tension between Muslims and Christians. They will not succeed in causing division," said Elmi.

NCCK General Secretary the Rev Peter Karanja said: "The judgment has in essence quashed the grounds upon which the Committee of Experts entrenched an illegal provision in the draft constitution.''

He added, "Our hope is that all Kenyans will now recognise the matter of religion in the constitution as an issue of justice and not be deceived by those with vested interest."

The Chairman of the Parliamentary Select Committee on the review process Abdikadir Mohammed described the ruling as the latest hurdle in the way of the reform process by those who do not want change.

Very powerful people

"The people who are throwing these hurdles are very powerful people who do not want this Proposed Constitution to sail through (and) that is why they have employed every trick to derail it," he added,.

Abdikadir said Kenyans should also demand to be told who altered the document, which even MPs failed to change, to include the words "national security"."Don't be fooled. The ruling by the constitutional court is not an accident and neither is the insertion of the words "national security" because all these are efforts to derail the process," he added.

Muslim leaders who addressed a Press conference yesterday said the ruling would not stop the reform train. Addressing the Press at Nairobi's Jamia Mosque, the leaders described the ruling as "a desperate attempt to derail the new constitution".

"We remain steadfast with our fellow Kenyans who are committed to ushering in a new constitutional dispensation," said the Chairman of the Supreme Council of Kenya Muslims Prof Abdulghafur Al-Busaidy who read a statement.

The leaders dismissed the ruling, filed in 2004 by a section of church leaders saying it lacked legal merit and was made in bad faith.

They also rejected the judges' view that Kadhis' Courts were ‘discriminatory' on the basis of section 62 of the Constitution. "They conveniently ignored sub-section 4 of the same section which says that matters of divorce, adoption, marriage and inheritance are excluded from the definition of discrimination," said Prof Al-Busaidy.

The ruling was calculated to sow seeds of discord among Kenyans and to adversely influence the outcome of the upcoming referendum, they added. "It is not lost upon us that the passage of the Proposed Constitution will directly affect the tenure of office of the three judges, if the new constitution passes," read the statement.

Earlier, Chief Kadhi Hammad Kassim urged Kenyans to remain calm as the matter was sorted out through proper legal channels.

"We also urge Christian leaders to exercise tolerance of other faiths and avoid issuing sermons that incite their flock against the Muslim community," he advised.

Jamia Mosque Committee member and former MP Billow Kerrow dismissed the claim that using public funds on the courts was illegal. "Like all Kenyans, Muslims also pay taxes. In fact, businesses owned by Muslims contribute significant amounts to the taxman yearly. We don't deserve this disrespect," he said.

Assistant Minister Kazungu Kambi also dismissed the ruling, adding the Judiciary should not be used to derail the reform process. He said the public mood should not be "fouled" by the ruling.

The Standard | Online Edition :: Kadhis: AG disapproves judges
 
Nguvumali, hapa ni ''Home of Great Thinkers'' Hivi umeshindwa kupata ni wapi kodi ya serikali inatumika katika makanisa hadi unataja Xmss trees katika mabenki?? Hiyo si kuwatakia heri tu wateja wake kama ilivyo ktk magazeti ambapo makampuni na mashirika mbali mbali wafanyanyavyo ktk sikuu zote hata za kidini!! Kweli mfa maji haachi kutapatapa. Logic ya mahakama ya kadhi iko wazi kabisa.Ni ibada kama wanavyosema basi isiingizwe ktk mfumo wa serikali.Simple wala ushabiki wa itikadi hauna maana.

Mawazo yako yanakubaliana na kile waislamu wanachokiita "mfumo kristo".Baada ya miaka mingi ya kuhodhi madaraka,urithi kutoka Mwl.Nyerere sasa mumelewa madaraka hayo.Huwa munachanganya shughuli za kiserikali na kikanisa bila kujali kwamba hii ni nchi iliyokombolewa na waislamu kutoka ukoloni.

Kwa maana hiyo ndiyo maana miti ya krismas ambayo ni alama ya sherehe za kikristo hamutaki ionekane ni kitu kibaya,lakini mahakama ya kadhi na vyengine vyenye alama ya kiislamu ni tatizo kwenu.Kwani si katika Serikali kuwatakia heri tu wananchi wake!.Huu ni mfano mdogo tu.Kumbuka kwa kulewa kwenu madaraka mumewahi kutuimbisha kwaya mashuleni ambayo ni ibada halisi ya kikristo.

Kabla; bwana Crome 20 umesema:
"Nashangaa mpaka mabenki yanaanza kampeni ya islamic benking!!! Mwislam safi anayeona ni halramu kupata riba kutoka benki, si achukue iliyo halali yake hiyo riba awaachie wenye benki.. It is that simple!!! Hatutaki sisi kuona kuna foleni/kaunta mbili katika benk eti hii ya waislamu ile ya wasio waislaam.Huu ni upuuzi unaanza kujengwa kidogokidogo na hasa wakiangalia mtawala gani yupo madarakani.Angalia mambo ya OIC,MAHAKAMA YA KADHI, HIJABU SHULENI N.K yanafuata pale penye ufa.Tunataka Tanzania moja, mambo ya ibada yasishugulikiwe na taasisi yoyote ya serikali.Huko ndiko kumuenzi muasisi wa taifa letu Mwl Nyerere."

Umesema It is that simple!!!.Wewe ni nani kwetu?, hata utuchagulie lipi la kufanya na kuwacha katazo la wazi la Mola alotuumba sisi na wewe kama lilivyo katika Qur'an

"Enyi Mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni riba zilizobakia, ikiwa nyinyi ni Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita na Allaah na Mtume wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe" (2: 278 - 279).

Tafsiri ya aya hapo It is not that simple!!!. lakini kwa kifupi wafasiri wengi wamependelea kuacha kuchanganya mali ya halali na haramu.Hivyo ikiwa uwezekano wa kuzitenga pesa zetu zisichanganyike na pesa za wauza unga kwanini tuchague vita na Mola wetu ambavyo hatuviwezi na hakuna anayeviweza.Waulize wachumi wa ulaya.

Kuna vitu haviepukiki hata ukiipenda Tanzania kiasi gani.Nyinyi munakwenda kanisani Jumamosi na Jumapili.Maeneo yenye watu wanaojiheshimu kuna vyoo vya wanawake na vyoo vya wanaume n.k.
 
Wakenya ndi kipimochetu watanzania? kuna nchi nyingi zimeruhusu Kadhi court kama UK na Archibishop of Contrbr DR Willium ni mkuu wa Prtestant aliishauri serikali ya UK kuruhusu kadhi court.

Kwa nini tusiige nchi zilizoendelea? Ndugu zangu wakiristo fungueni macho!!!
 
Tatizo ushabiki mmeweka mbele... Naona hata kichwa cha habari kimebadirishwa.
kama si ushabiki, je wewe unadhani ni sawa kadhi kuhudumiwa na serikali ambayo vyanzo vyakofedha ni vya wanadini tofauti?

ukivua kofia yako ya uislamu utujua ukweli, ila kuuona ukweli ni ngumu ukiwa umevaa kofia yako ya uislamu.
 
just to put somethings in persepective,

1)the kenyan coast was under the rule of the sultan of zanzibar

2)kadhi courts have been there for over a century

3)when the bounderies were being drawn up for the new independent kenya, the sultan had to give up the coastal strip to the newly formed kenya.

4)the sultan also required that kadhi courts remain untouched.

i think in he new constitution kadhi courts should be abolished, but that should not stop us from passing the constitution because we can always ammend the constitution. i cant see the kadhi courts lasting for long.
 
Seems like we on different roads in this one homes. Let me ask you one question bro, for how long has the Kadhis courts been with us,and has it ever affected your life in any way? muslims in Kenya have been an accomodative lot, despite all that has been done to us (Wagalla Massacre, religious profiling by the anti terrorist police e.t.c), so just let us have this one.

This is the only chance we will get to change our country, the current constitution has been raped by Kenyatta, Moi and Kibaki thus making it obsolete, we need a new one so that we can face new challenges, and forge a new destiny for our country. We can never progress with the current constitution, lets not be confused by the side shows because its obvious that people (the clergy) have been paid by the non reformist to spear head the no camp, we shouldnt lose focus on this one.

Nomasana you should be the one to demystify this myth about the Kadhis court (which to me is a non-issue) which is harmless.
 
What those Judges did was a political move that sounds sinister to me because of the timing. I believe
nimesoma somewhere kwamba hii kesi ilikua filed in 2004....yaani it has taken this long for them to make
a decision?.They are trying to throw a spanner in the formation of the new katiba for Kenya using the
Kadhi's courts as an excuse.

I hope and pray that Kenyans will vote for a new constitution coz its been a long time coming.
 
Kumbuka kwa kulewa kwenu madaraka mumewahi kutuimbisha kwaya mashuleni ambayo ni ibada halisi ya kikristo.
Umesahau mashabiki wa soka walivyokuwa wakiimbishwa "Taifa Teule" yaani Israel ya Mayahudi bila ya kujijuwa?
 
What those Judges did was a political move that sounds sinister to me because of the timing. I believe
nimesoma somewhere kwamba hii kesi ilikua filed in 2004....yaani it has taken this long for them to make
a decision?.They are trying to throw a spanner in the formation of the new katiba for Kenya using the
Kadhi's courts as an excuse.

I hope and pray that Kenyans will vote for a new constitution coz its been a long time coming.

An MP. Gitobu Imanyara plans to move a censure motion against the three Judges in parliament, the move by the judges was ill advised and had an alterior motive and shouldn't be taken lightly. Do you know that all the judges will be vetted once the draft becomes law, so its obvious that most of them are against the draft, so many of the old guards, the AG included will vacate office. The constitution will bring an end to impunity and bring justice and equality to this beautiful country.

This constitution is definitely against the people who got their wealth illegally by grabbing government land and stealing from our coffers, and they are seriously rich and can do anything to maintain the status quo, we have to keep vigil and not to lose our focus. Am for yes.. God bless Kenya
 
Nguvumali,

Heshima mbele natanguliza.

Hapo juu umeuliza swali zuri sana nami nitakuuliza Je kwa nini kodi yetu kama waislamu itumike kulipa
walimu wanaofundisha Christian Religious Education katika public schools?

Kisha kwa taarifa yako kodi ya wananchi haitumiki kujenga misikiti.Hapo tunaanza kudanganyana iwapo tutazidi kusema hii story.Its not true.

Personally I do not believe that Taxpayers money should be used to front for ANY religion. Nielewe hapo.

Tuendeleze mjadala.

Hiyo hoja yako kwa makusudi kabisa au kwa kutojua naona umeing'ang'ani kweli kweli. Mbona husemi kuhusu kuwepo kwa. Islamic Religious Education na Hindu Religious Education? Unalako jambo hapa. BTW haya kufundishwa shuleni hakuna ubaya maana kuna watakaoamu huko mbeleni kubobea kwenye masuala haya. Ila mahakama ya Kadhi haina faida yeyote.
 
Umesahau mashabiki wa soka walivyokuwa wakiimbishwa "Taifa Teule" yaani Israel ya Mayahudi bila ya kujijuwa?

Son what up with you and jews, am muslim but I aint that obsessed, chill out Nigga.
 
Son what up with you and jews, am muslim but I aint that obsessed, chill out Nigga.
Are you sure you are a Muslem? I doubt 'cause rule number one "you must hate Jews with all you heart ." But wait a minute, the way you are diffending the kadhi thing though in a civil manner made me conclde you're Moslem.
 
Am Muslim and my rule number one is submission to Allah, I think you have your priorities upside down if your rule number one is to hate Jews, Islam is a religion of peace and the palestinians are not the only Muslims who are suffering under oppressive regimes, get your priorities right or you will be brainwashed into killing yourself and innocent women and children in the name of ''Jihad''. And yes, am Muslim and I love my religion.
 
Monsignor,
Hiyo hoja yako kwa makusudi kabisa au kwa kutojua naona umeing'ang'ani kweli kweli. Mbona husemi kuhusu kuwepo kwa. Islamic Religious Education na Hindu Religious Education? Unalako jambo hapa. BTW haya kufundishwa shuleni hakuna ubaya maana kuna watakaoamu huko mbeleni kubobea kwenye masuala haya. Ila mahakama ya Kadhi haina faida yeyote.

Monsignor,

Naomba usome post nzima na usinukuu sehemu moja peke yake. Nimesema hivi..

Personally I do not believe that Taxpayers money should be used to front for ANY religion. Nielewe hapo.

."Enyi Mlioamini! Mcheni Allaah, na acheni riba zilizobakia, ikiwa nyinyi ni Waumini. Basi mkitofanya jitangazieni vita na Allaah na Mtume wake. Na mkitubu, basi haki yenu ni rasilmali zenu. Msidhulumu wala msidhulumiwe" (2: 278 - 279).

Tafsiri ya aya hapo It is not that simple!!!. lakini kwa kifupi wafasiri wengi wamependelea kuacha kuchanganya mali ya halali na haramu.Hivyo ikiwa uwezekano wa kuzitenga pesa zetu zisichanganyike na pesa za wauza unga kwanini tuchague vita na Mola wetu ambavyo hatuviwezi na hakuna anayeviweza.Waulize wachumi wa ulaya.

Ni wafasiri gani hao?:
 
Back
Top Bottom