Majaji wapendekeza Mahakama ya kadhi kufutwa Kenya

Wakuu,

naona wengine wetu tunakurupuka kusifu hii ishu lakini kwa kweli ukweli hatuujui.Aliyeanzisha hii mada pia ameipa kichwa cha uongo.Mahakama ya kadhi haijafutwa bali wamesema "the inclusion of Kadhi courts in current Constitution is illegal and discriminatory".

Kwa hivyo ni pendekezo tu. These are the facts:

Kwanza kabisa it is a Constitutional Court that made a ruling and not the Supreme Court of Kenya.

Pili ni muhimu kujua pia waKenya wamo katika pirka pirka za kuunda katiba mpya na kura itapigwa Agosti 4 to that effect. Kwa mujibu wa wale wanaopinga kuwepo kwa Mahakama ya Kadhi katika katiba ni kanisa la
wakristo ambao wanadai kua "The inclusion of the Kadhi's Courts is unconstitutional"...ni hawa mabwana walioenda kupinga hii kitu kotini.

La kuchekesha ni kwamba katika hio referendum watu watapiga kura either Yes for the new Constitution ama No kuipinga. Iwapo Yes watashinda basi mahakama ya Kadhi itakuwepo katika katiba mpya.Iwapo No watashinda basi Kenya itarudi kutumia katiba ya zamani ambao pia ilikua inaruhusu mahakama ya Kadhi.Kwa hivyo whether you vote Yes or No mahakama ya Kadhi itakuwepo katika katiba ya Kenya.( nataka muelewe hapo kwa usahihi).Kwa kimombo utasema 'it is a win win situation' either way for the Kadhi Courts.

Tatu ni kwamba this decison by the Constituional Court Judges refers to the inclusion of the Courts beyond the 10 mile strip as it had been decided during independence. Kwa wale msiojua, mile kumi za ufuo wa Pwani ya Kenya zilikua chini ya himaya ya Sultan wa Zanzibar na wakati wa uhuru, Sultan aliwaomba waingereza waeke hii mahakama ya Kadhi ndani ya katiba yao ilmradi haki za wakazi wa hili eneo zisionekane kupotea. La sivyo basi hao wakazi walikua na haki ya kujitenga na Kenya na kuwa chini ya Sultan wa Zanzibar. Kwa hivyo the Courts have ruled that these inclusion of this courts beyond the 10 mile strip is also unconstitutional. Kwa hivyo iwapo hawa wakazi watataka kujitenga kutoka Kenya based on this then they can do so. Unafikiri serikali ya Kenya itakubali hili? Instead of rooting for chaos basi watawapa tu haki yao.

In my opinion this is a political decision by the three judges to try and remain relevant in the New Kenya so to speak. Katiba mpya inawatishia majaji wengi unga wao maana watafutwa wote na process ya kuteua majaji itafanyika upya na vetting process kupitia bungeni. Kwa katiba ya sasa Rais anauwezo wa kufanya huu uteuzi peke yake and that is why the Kenyan Courts have always been heavily influenced by the politics of the day...Just like in Tanzania.

Meanwhile if Moses were a Kenyan....

Mbona torah ya kiarabu inatumia neno Allah katika sehemu ya MwenyeziMungu katika Torah ya Kiswahili?:
"Jehovah Himself studies the Talmud standing, he has such respect for that book."-Tract Mechilla.

Mkuu Sadeeq
mi nataka kukuuliza kitu kimoja, hivi mkiweza kuisilimisha Biblia mtaiweza injili ya Yesu?
 
Waswahili wana msemo wao mmoja kuwa "Ujinga hauna kwao bali una mazalio"
Watu wengi ni wapenzi au wafuasi wa itikadi zao lakini basi inasaidia nini ikiwa watashindwa kutumia bongo na akili zao kutafuta kweli ya kila jambo walisikialo?

Wanaruhusu akili zao kuingia upofu wakashindwa hata kutafuta ukweli wa kile wanacho kishabikia. Hali hii ndio tunaiona humu JF, watu wakisikia habari tu hata kutafuta ukweli wake wanaona tabu au ni uvivu wa kutafakali na kujua asili yake... Ndio maana wakati mwingine tunakuwa watazamaji tu kwa kuogopa matusi yanayo kuja baada ya wale wenye kuleta shutuma na ushabiki kuujuwa ukweli na matokeo yake wanaishia kutukana baada ya kuona kile wanacho kishabikia kuwa si kweli.
 
itafutwa tu hata hivyo. its just a matter of time. asilimia saba ya waislam inaingiza dini kwenye selikali kushinikiza asilimia zaidi ya themanini ya wakristo walio baki, hivi wangekuwa waislam ndo wengi kenya sijui ingekuwaje...
 
X-Paster unafikiri kwa nini Katiba ya nchi iwe na mahakama kwa ajili ya dini moja wakati wanaweza kuanzisha hiyo ibada yao misikitini bila kuingiliwa na yeyote kwa GHARAMA zao? Mimi naona ulifanya la maana sana kuendelea kukaa pembeni kwa kuwa huna jema la kutueleza
na wala hakuna aliyekurushia tusi! Just your inferiority complex!
 
itafutwa tu hata hivyo. its just a matter of time. asilimia saba ya waislam inaingiza dini kwenye selikali kushinikiza asilimia zaidi ya themanini ya wakristo walio baki, hivi wangekuwa waislam ndo wengi kenya sijui ingekuwaje...
Tatizo ushabiki mmeweka mbele... Naona hata kichwa cha habari kimebadirishwa.
 
Hivi unanijuwa au unanisikia na kunisoma tu hapa JF... Unacheza wewe eti inferiority complex... ah ah ah ah ah.
 
hata kama hawajaondoa kwenye current constitution, lakini iko hatarini kuondoka kwenye katiba ijayo. watu wana hasira nayo sana kama ukisoma thread za wakenya.
 
Hivi unanijuwa au unanisikia na kunisoma tu hapa JF... Unacheza wewe eti inferiority complex... ah ah ah ah ah.
Justification ya Wakristo, Wahindu, Wapagani, Singasinga, Wayahudi, nk kukatwa kodi zao ili kulipia ibada za Waislamu (mambo ya Kadhi) ni ipi hasa?
Kwa kuwa tunaogopa wataandamana, watatoa vitisho, watalipua ndege, makanisa, nk au ni kwa nini hasa?
 
hicho ndicho binafsi sielewi, kwanini wanapenda mteremko, mwishoe watataka hata bill za umeme tuwalipie, mapika ya misikitini yakiharibika watataka watengenezewe buree, kifupi hakuna mahakama ya kadhi isiyo fanya kazi nje ya ukamilifu wa sharia.
ukamilifu wa sharia unahusisha mambo mengi maovu katika kizazi cha ustarabu wa binadamu, sharia ni katili sana, ni mfumo ambao ukamilifu wake unajionesha kule Mogadishu ambako chamoto wanakiona. sharia haiwezi kutekelezeka katika kundi kubwa hivi lenye muingiliano wa dini na ustaarabu wa maisha. ni mawazo yangu.
 
AB ameifafanua vizuri sana situation iliopo Kenya, katiba mpya ipite ama isipite Kadhis court itaendelea kuwepo. Hawa majaji walilipwa ndio waamue kuitupilia mbali mahakama ya Kadhi, that case was filed in 2004, how comes the decision is only made a few months before the referendum, akina Moi wametoa hela sana kuipinga katiba hii, tatizo lao kubwa ni mashamba waliopata kwa njia haramu, their time is up, we want a new Kenya through a new constitution, they have no choice.
 
Hongereni sana Wakenya, haya mambo ya Kadhi yafanyikie misikitini, yalipiwe na yanayowahusu, maana ni sehemu ya Ibada kwa mungu wao aitwaye allah!

Hili suala waislamu wa Kenya ni hodari sana kutetea kabla sisi hatujashiriki.Lakini kwa hoja yako, sasa waislamu wa Tanzania watazinduka.Ikiwa pesa ya Serikali haifai kutumika kwa mambo ya wenye dini basi wakristo Tanzania watakosa mengi.
 
"If a goy (non-jew) wants a Jew to stand witness against a Jew in a court of law, and if the Jew could give fair evidence, he is forbidden to do it; but if a Jew wants a Jew to be a witness in a similar case against a goy, he may do it." - Schulchan Aruch, Choszen Hamiszpat 28, Art. 3 and 4
 
Hili suala waislamu wa Kenya ni hodari sana kutetea kabla sisi hatujashiriki.Lakini kwa hoja yako, sasa waislamu wa Tanzania watazinduka.Ikiwa pesa ya Serikali haifai kutumika kwa mambo ya wenye dini basi wakristo Tanzania watakosa mengi.
Mengi hasa yapi, weka wazi unayodhani ni kodi za wananchi kutumika kanisani. ambazo ni sawa na kufuja pesa za walipa kodi kuhudumia mahakama ya kadhi, je mpo tayari kupewa pesa za kitimoto kuhudumia shughuli za waislamu ?
 
Ni afadhali hizo kodi za serikali zingetumika huko makanisani waislamu tusingeona lakini kwenye mabenki ya umma kuweka miti ya krismas!
 
Mengi hasa yapi, weka wazi unayodhani ni kodi za wananchi kutumika kanisani. ambazo ni sawa na kufuja pesa za walipa kodi kuhudumia mahakama ya kadhi, je mpo tayari kupewa pesa za kitimoto kuhudumia shughuli za waislamu ?
The gentiles are outside the protection of the law and God has "exposed their money to Israel."Baba Kamma 37b.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…