Majaji wasitishwe wala kushawishiwa katika kufanya hukumu!

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
MAJAJI WASITISHWE WALA KUSHAWISHIWA!!
Iwapo itathibitika uhaini umefanyika na watu 500+ wakafariki adhabu stahiki itolewe bila woga na bila ushawishi.
Kinyume na hapo tutajikuta na maafa mengine wakati mwingine chini ya ushawishi wa wahaini wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…