GE2025 Majalio Kyara: Nikipewa Urais Nitaimarisha Soko la Mbaazi kwa Wakulima

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Mgombea urais kupitia Chama Cha Sauti ya Umma Mh. Majalio Kyara amesema endapo wananchi watampa ridhaa ya kushika nafasi hiyo atahakikisha anafungua fursa ya soko la mbaazi kwenye mikoa ambayo wakulima wanazalisha kwa wingi.

Kyara ameyasema hayo wakati akiwahutubia wananchi wa Kibaigwa jijini Dodoma alipokwenda kuomba kura ili aweze kushinda katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mkuu Oktoba 29, mwaka huu.

Tawi kuu likijiongoa hakika utashinda na kuushikilia usukani,ungeza bidii.
 
Back
Top Bottom