Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Akizungumza wilayani Ruangwa Waziri mkuu amesema wao ndiyo waanzilishi wa kauli ya mitano tena kisha ikasambaa nchi nzima.
"Na sisi ndiyo waanzilishi wa neno la mitano tena, sisi ndiyo wasemaji wa kwanza tunataka fomu moja ya Dkt. Samia kupitia halmashauri kuu. Tulipokuwa na sherehe yetu ya hamasa ndiiyo katika kuhamasisha tukasema Dkt. Samia mitano tena kwa mara ya kwanza halafu ikachukuliwa Tanzania nzima"