mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Amezungumzia korosho?Majaliwa Naomba mtekeleze Hilo faster Muache alama ya kudumu,
kuna uzi hapo habari mchanganyiko ,siro kaoengelea lakini ni utata mtupuHakuzngumzia kuhusu ulinzi wa wana Mtwara dhidi ya magaidi kutoka msumbiji? Maana sijasikia statement yoyote kutoka kiongozi wa taifa ya hata pole au nimepitwa?
Bia....BiaRais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Bia....Bia
Mkoloni alijenga reli toka Mwara mpaka Nachingwea lakini Serikali ya CCM ikaing'olea mbali wanyonge wa Kusini wangoje ya kisasa ya umeme ya SGR ya Awamu ya Tano. Kabla ya tarehe 28 Oktoba, Makamu wa Rais naye ataahidi kuanza ujenzi wa SGR kuunganisha visiwa vya Zanzibar na Pemba wanyonge wa huko nao wasiachwe nyuma kufaidi matunda ya Muungano. Mpaka Awamu ya Tano inamaliza muda wake madarakani, Chato, Ruangwa na Zanzibar tutafika kwa treni ya SGR, madege yakibaki yamepark Dar.Dunia ya leo, bado wanatumia mbinu zilezile za kizamani, kuwadanganya WANYONGE wao.
Dunia ya leo, bado wanatumia mbinu zilezile za kizamani, kuwadanganya WANYONGE wao.
Labda maono ya kupiga chaboRais Magufuli ni mbeba maono ya Watanzania
Me nimeita tu Bia... Bia asee....Tulia Wewe Chadema
Ghilba tupu.Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"
Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)
Mytake
Hii ndio serikali ya awam ya tano ni reli ,flyover, ndege tuu kama hutak kajitusu 28/10_2020