Uchaguzi 2020 Majaliwa Kasimu: Tutaanza ujenzi wa SGR nyingine Mtwara

Uchaguzi 2020 Majaliwa Kasimu: Tutaanza ujenzi wa SGR nyingine Mtwara

Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"

Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)

Mytake
Hii ndio serikali ya awam ya tano ni reli ,flyover, ndege tuu kama hutak kajitusu 28/10_2020
Sawa, uwezo wa kukopa bila idhini yetu wananchi wanao, na vilio vya wananchi ni vilio vya samaki. CCM inayasema hayo ikijua fika ni uongo kwani hiyo ya kati kufika Morogoro inasuasua.
 
Km Mia nne dar to Moro miaka 5 imekatka ziiiii, ghafla tunaahidiwa km zingine buku du!
 
Hakuzngumzia kuhusu ulinzi wa wana Mtwara dhidi ya magaidi kutoka msumbiji? Maana sijasikia statement yoyote kutoka kiongozi wa taifa ya hata pole au nimepitwa?
Serikali laini ndiyo hupambana magaidi kwa kauli na matamko. Serikali thabiti hufanya kwa vitendo kama ilivyokuwa MKIRU.
 
Akizungumza Jana mjini Mtwara bwana majaliwa amedai kuwa "uchambuzi wa kimazingira umekamilika na punde tukiingia madarakani tutaanza ujenzi wa reli mpya toka bandari ya Mtwara hadi liganga na mchuchuma zaidi ya umbali wa 1000km"

Chanzo
China Radio international kiswahili (CRI kiswahili)

Mytake
Hii ndio serikali ya awam ya tano ni reli ,flyover, ndege tuu kama hutak kajitusu 28/10_2020
Walipeni pesa zao za korosho.

Wao hawana haja na treni, buti la Zungu linawatosha, treni pelekeni chato
 
Wewe khanithi umerudi tena?

Utakuwa mchawi wewe mwanaharamu
 
Serikali laini ndiyo hupambana magaidi kwa kauli na matamko. Serikali thabiti hufanya kwa vitendo kama ilivyokuwa MKIRU.
tamko ni kuwafariji na kuwa assure watu ambao wapo kwenye risk ya mashumbilizi.
 
Back
Top Bottom