Majaliwa kastaafu siasa au kastaafishwa?

🙋✍️🎯👍👏👊🤝🙏
 
🤣🤣🤣🔊 Majaaliwa huyu huyu, Haya!
 
Nadhani alidhan ataendelea kukalia kitu chake cha Ukuu wa Mawaziri laaa kuna za chini akapenyezewa labda Queen hatakuweka kwenye Mkeka kwa nafasi
Ya UPM, laaa kuna wazee wenzake
Anaokunywa nao kahawa wamemwambia
Unajiondolea heshima tuliza boli.
Ina maana hakusikia harufu alipowekewa naibu?
Ile ilikuwa red card kabisa ijui kwnn hakuiona...

Kusema kwl nilivyosikia atagombea nikaona ni mtu mwenye choyo marupurupu yoyote ya ustaafu na bungee aubebe tena? Familia nyingine nazo ziachwe zipate hizo riziki jamani.....mara nyingine ukiona uko jukwaani unashangiliwa sana una cut....ili watu wapende kukusikia zaidi
Haikuwa saa yy kugombea ...ana Ukinda gani alishagonga UPM?[emoji16]
 
kwa hal ya kawaida tu yeye ndio alkua wazr mkuu kwa wizara zote na arud kama mmbuge wa kawaida ndan ya miaka 5 ataweza kuomba kwa wizara flan jambo la jimbon kwake ambalo hata yeye kwa miaka 10 akulitimiza alipokua wazir mkuu na mbuge wa jimbo lake ?? kwaio sa nyingne n busara znatumika il kuepusha fedhea zisizo za lazma
 
Mzee fala huyo mtu muongo sio wa kupewa nafasi kubwa, walimsitiri tu
 
Wakipumzika mnasema wamewekwa pembeni wakiendelea mnasema wazee wanang'ang'ania madaraka 😀
 
majaliwa kagundua cheo chake kitachukuliwa kina makonda. kaona bora ya nusu aibu kuliko aibu kamili.
 
Nani siyo Mzee? Acheni kubeza Wazee Uongozi siyo kubeba Zege. Ni Utulivu, Busara na Hekima. Ahaaaa Ujana ndiyo uongozi au Majigambo?? Trump , Museven, hwaongozi tena kwa ufanisi mkubwa? Njaa tuu na uchawa unawasumbua nyie mnaojiita Vijana.
 
Amestaafishwa kwa lazma huku akizingilwa na maafisa usalalama
 
Wiki mbili nyuma alisema atagombea. Leo kabadili gia angani. Think twice
awali alisema hatogombea, baadae akasema atagombea na tena hatogombea.

Lakini ameshakaa miaka 15 bungeni, 5 akiwa mbunge na naibu waziri na 10 akiwa Waziri Mkuu, anataka nini tena?

Pensheni ya ubunge na uwaziri mkuu tayari amezikunja
 
Mimi nampa kongole PM kuamua kustaafu kwa hiari yake mana ameshakua PM kwa miaka 10 iyo ni bora akastaafu apo kuliko kugombea ubunge tena hlf asijekuchaguliwa akajishusha hadhi kutoka PM up to MP
 
Aisee
 
awali alisema hatogombea, baadae akasema atagombea na tena hatogombea.

Lakini ameshakaa miaka 15 bungeni, 5 akiwa mbunge na naibu waziri na 10 akiwa Waziri Mkuu, anataka nini tena?

Pensheni ya ubunge na uwaziri mkuu tayari amezikunja
Wanatamaa sana. Hapa utashangaa anaumia sana roho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…