PreGE2025 Majaliwa Kyara achaguliwa kuwa mgombea Urais kupitia SAU

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Sijapewa username bado

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,775
Reaction score
2,891
Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika kuwatumikia Watanzania.
 
Baada ya kupokea vifedha vya kampeni kutoka kwa wafadhili litafanya vijimkutano viwili vitatu kwenye masoko na linaishia hapo.
 
Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika kuwatumikia Watanzania.
View attachment 3319726
Hivi kuna uchaguzi uliowahi kufanyika hapa Tanzania level ya urais akakosekana Mchagga kwenye kugombea?
 
Back
Top Bottom