Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Unacheka wagombea Ery?😆😆😆😆😆
NawachekeleaUnacheka wagombea Ery?
😂hao wapo tu kulirudisha taifa nyumaNawachekelea
Kwanza wanakujaga vipindi vya kampeni tuHawa hata kampeninuwa hawafanyi
Ila John bhana😂Huyu ndio Yule Majaliwa wa Precision Air?
Imeisha hiyo mkuuBaada ya kupokea vifedha vya kampeni kutoka kwa wafadhili litafanya vijimkutano viwili vitatu kwenye masoko na linaishia hapo.
CCM hamshindwi kitu maana hayo ndio mapandikizi yenu.Huyu ndio Yule Majaliwa wa Precision Air?
Hivi kuna uchaguzi uliowahi kufanyika hapa Tanzania level ya urais akakosekana Mchagga kwenye kugombea?Mkutano Mkuu wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), umemchagua Bw. Majaliwa Kyara, kuwa mgombea wa nafasi ya Urais kupitia chama hicho, kwenye Uchaguzi Mkuu, unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, wakisisitiza kauli mbiu ya chama chao Sala na Kazi, wakiamini italeta mafanikio katika kuwatumikia Watanzania.
View attachment 3319726
Yule ChaumaHii sii ile ya hashimu madevu