Uchaguzi 2020 Majaliwa: Mchagueni Dkt. Magufuli kwasababu ana uwezo wa kusimamia kazi ipasavyo, si mlalamishi

Uchaguzi 2020 Majaliwa: Mchagueni Dkt. Magufuli kwasababu ana uwezo wa kusimamia kazi ipasavyo, si mlalamishi

Niambie Tanzania imefika wapi miaka 59 baada ya uhuru?
Huoni kutokuongoza nchi vyama vingine labda ndiyo tatizo? unataka mfano wa nchi ambazo zimeongozwa na vyama tofauti zilipofikia sasa hivi? nikutajie?
Na kama unataka tum-quote baba wa taifa kuna quote nyingi sana zinazoonyesha ujinga anaoufanya jiwe, baba huyohuyo wa taifa alisema utii ukizidi unageuka uoga, nadhani unajua fika sasa hivi watu wanavyomuogopa jiwe. Baba huyohuyo wa taifa aliongelea sana maendeleo ya watu kuliko vitu, sasa hata maendeleo ya vitu hakuna mi nashangaa mnakaa kusema ndege ndiyo maendeleo, kiflyover kimoja na daraja moja hahaha, em acheni ujinga. Hakuna kitu CCM imefanya zaidi ya kuua watu tu na kuiba kura kila uchaguzi, shenzi sana
Nyie mmefanya nini kwenye chama chenu na majimbo yenu mjomba hahah alivyoenda Ubelgiji alipanda mtumbwi ndio nakubali hata alivyokuja alipanda mashua nakubali.
Hata sasa anatumia helkopta anashuka kwenye bahari sio kwenye uwanja wa ndege.
Endeleeni kujitekenya mjomba.
Na aliyekwambia anaogopwa nani labda wewe unamuogopa na wasiwasi nawe un tatizo kichwani au kiutendaji yaani huwezi muogopa polisi wakati huna kosa mjomba tulia dawa ikuingie
 
Nyie mmefanya nini kwenye chama chenu na majimbo yenu mjomba hahah alivyoenda Ubelgiji alipanda mtumbwi ndio nakubali hata alivyokuja alipanda mashua nakubali.
Hata sasa anatumia helkopta anashuka kwenye bahari sio kwenye uwanja wa ndege.
Endeleeni kujitekenya mjomba.
Na aliyekwambia anaogopwa nani labda wewe unamuogopa na wasiwasi nawe un tatizo kichwani au kiutendaji yaani huwezi muogopa polisi wakati huna kosa mjomba tulia dawa ikuingie
Sina chama mimi, naangalia mtu kama individual siangalii chama, mi si kilaza kama wewe, nina maisha mazuri, nimesoma, nina nyumba kali tu, sina shida. Hazijaletwa na ccm, nimekomaa kwa jasho langu mwenyewe.
Kama unabisha kua jiwe haogopwi we una matatizo ya akili, endelea kua delusional, jiwe limekushika balls linakutekenya unatetemeka akili zimeruka, ngoja nikuweke kwenye block list tu usiendelee kunipotezea muda, sina muda na vilaza mimi.

Huu ndiyo use***ge mliojazwa na jiwe, angalia hapa kilichomtokea. Mnashughulikia sehemu zenye wabunge wa ccm tu nyingine zinapewa low priority, shenzi wewe, shenzi jiwe, shenzi wote wanaoungana naye. Bunch of monkeys tu nyie hamna hadhi ya kuitwa binadamu

 
Kilichobakia ni kubeba makopo tuu naona wehu umeshakuingia
Acha dawa ikuingie mjomba
IMG_20201019_162415.jpg
 
Sina chama mimi, naangalia mtu kama individual siangalii chama, mi si kilaza kama wewe, nina maisha mazuri, nimesoma, nina nyumba kali tu, sina shida. Hazijaletwa na ccm, nimekomaa kwa jasho langu mwenyewe.
Kama unabisha kua jiwe haogopwi we una matatizo ya akili, endelea kua delusional, jiwe limekushika balls linakutekenya unatetemeka akili zimeruka, ngoja nikuweke kwenye block list tu usiendelee kunipotezea muda, sina muda na vilaza mimi.

Huu ndiyo use***ge mliojazwa na jiwe, angalia hapa kilichomtokea. Mnashughulikia sehemu zenye wabunge wa ccm tu nyingine zinapewa low priority, shenzi wewe, shenzi jiwe, shenzi wote wanaoungana naye. Bunch of monkeys tu nyie hamna hadhi ya kuitwa binadamu

Vile ambavyo dawa imekuingia bata wangu sawa ukiniweka kwenye blacklist itapendeza zaidi maana utakuwa umeniogopa mjomba na itaonyesha akili yako ilivyo finyu kimawazo mjomba hahahah pole sana
IMG_20201018_223908.jpg
 
Alishakuja kuiua familia yako au kukuteka wewe au unaongea tu??
Una ushahidi kuku wewe acha uzuz wako mjomba we kama serikali yake ingekuwa ya kuuwa leo ungekuwepo hapa nchini unakenua tu hapa jamii forum
Tudia kusoma ulichoandika, huenda utaweza kuyatambua mapungufu yako.

Hivi marehemu anaweza kushuhudia kifo chake? Kukemea uovu ni mpaka ukutokee wewe au ndugu yako wa damu?

Ben Saanane, Azory na yule aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Kigoma wako wapi?

Wale madiwani kupitia CHADEMA, yule aliyeuawa Dar na kule Morogoro, na wale ambao miili yao ilishuhudiwa na watu beach za Dar, hawatoshi kututhibitishia kuwa kuna mauaji?

Wale waliotekwa - Roma na wengineo wengi hawatoshi kuiamsha akili yako ukajua kuna tatizo kwenye Taifa letu?

Haishangazi, hata katika kila uovu huwa kuna wahusika na waungaji mkono wa uovu. Endelea kuunga mkono uovu lakini kuna siku utatambua umuhimu wa kusimama na watu wa haki kuliko wadhulumaji wa haki. Uhai na utu wa kila mtu una thamani sawa na thamani ya uhai na utu wako. Mungu akusaidie, siku moja ujawe na hekima, upate kuuchukia uovu kuzidi ninavyouchukia mimi, bila ya kujali uovu huo unatendwa na nani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vile ambavyo dawa imekuingia bata wangu sawa ukiniweka kwenye blacklist itapendeza zaidi maana utakuwa umeniogopa mjomba na itaonyesha akili yako ilivyo finyu kimawazo mjomba hahahah pole sana View attachment 1605108

Id zote mpya za ccm za septemba hazina jipya humu jukwaani zaidi ya utoto. Tulitegemea id mpya za ccm za mwezi septemba ziwe na jipya, kumbe ni upuuzi mtupu.
 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa amewaomba Watanzania wote wakiwemo na wakazi wa Kigoma wahakikishe wanamchagua Rais Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ni mgombea urais kwa tiketi ya CCM kwa sababu ni kiongozi shupavu, mpenda maendeleo na si mlalamishi.

Mheshimiwa Majaliwa ameyasema hayo leo (Jumapili, Oktoba 18, 2020) alipozungumza na wakazi wa Kigoma kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Mwanga Centre wakati akimuombea kura mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Kigoma Mjini, Kilumbe Ng’enda na wagombea udiwani wa CCM.

“Tumchague Dkt. Magufuli kwa sababu ni kiongozi tunayemjua na ametumikia katika nafasi ya urais kwa ufanisi mkubwa. Dkt. Magufuli ameweza kujenga miundombinu mbalimbali ikiwemo ya afya, elimu, barabara na maji katika kipindi cha muda mfupi wa miaka mitano, tumpe ridhaa ya kuongoza miaka mitano mingine ili tupate maendeleo zaidi.”

Amesema CCM ndio chama pekee chenye dhamira ya kuwaletea maendeleo na wasifanye makosa kwa kuchagua wagombea wasiokuwa na uwezo wa kuwatumikia na badala yake wachague wagombea kutoka CCM kwani ina ilani ambayo imeorodhesha miradi yote ya maendeleo itakayotekelezwa nchi nzima ikiwemo na Kigoma.

Amesema wananchi wanatakiwa wamchague Dkt. Magufuli kwa sababu ni kiongozi muadilifu, mchapakazi na mwenye hofu ya Mwenyezi Mungu na upendo kwa watu wa dini zote na anauwezo wa kusimamia kazi ipasavyo na ndio sababu Tanzania sasa inamaendeleo makubwa. “Oktoba 28 mwaka huu nendeni mkamchague Dkt. Magufuli.

Akizungumzia kuhusu miradi ya ujenzi wa barabara iliyotekelezwa Kigoma, Mheshimiwa Majaliwa amesema Serikali imetoa sh. bilioni 63.323 kwa ajili ya ujenzi barabara kutoka Kidahwe hadi Kasulu kwa kiwango cha lami na tayari mradi huo umekamilika na utanufaisha maeneo ya Wilaya za Kasulu na Kigoma.

“Serikali imetoa shilingi bilioni 47.159 kwa ajili ya mradi wa ujenzi barabara kutoka Nyakanazi hadi Kabingo yenye urefu wa kilomita 50 kwa kiwango cha lami, ambapo kwa sasa mradi huo umefikia asilimia 86 na utanufaisha maeneo ya Wilaya ya Kakonko.”

Mheshimiwa Majaliwa amesema miradi mingine ya barabara za mkoa wa Kigoma ambazo zimetengewa fedha katika Mpango wa Maendeleo wa Mwaka 2020/2021 ni pamoja na ujenzi wa barabara kutoka Manyovu – Kasulu – Kabingo, shilingi bilioni 372.109 zitatumika kujenga kilomita 260.6 kwa kiwango cha lami.

Awali, katika kuonyesha kuwa wakazi wa Manispaa ya Kigoma wamechoshwa na upinzani wanachama 200 wa Vyama vya Upinzani wengi wao kutoka ACT Wazalendo wakiongozwa na aliyekuwa meneja wa kampeni wa Zitto Kabwe, Patrick Mzigama wamekihama chama hicho na kujiunga na CCM baada ya kuridhishwa na kasi kubwa ya maendeleo iliyofanywa na serikali ya CCM katika awamu ya kwanza ya Uongozi wa Rais Dkt. Magufuli.

Mzigama ametumia fursa hiyo kuwaomba radhi wakazi wa Kigoma Mjini kwa sababu yeye ndiye aliyewaongoza katika kuchagua vibaya mwaka 2015, hivyo amewaomba wabadilike na siku ya kupiga kura itakapofika wakawachague wagombea wote wa CCM. “Rais Dkt. Magufuli amejenga miradi mikubwa na maendeleo, amerudisha nidhamu kwa watumishi wa umma na wanafunzi wanasoma bure hivyo hatuna sababu ya kumchagulia mtu ambaye hawataongea lugha moja.”
Hili gara bali vipi amchague yeye n mke wake
 
Ulitaka tumuite jina lako au laaah maana chama chenu hakina mbele wala nyuma hata mfumo wa uongozi haupo vyema kwahiyo unashangaa kusikia mjumbe kamati kuu inawezekana hata huelewi maana yake.
Baki na chama chako tuachie chama chetu mjomba
Hukunielewa mkuu, mwanzo alikuwa anafanya kampeni kwa kutumia cheo cha waziri mkuu wakati katiba hairuhusu, ndio ccm walivyojistukia sasa hawasemi tena waziri mkuu ingawa anaenda kwa sifa zilezile kuanzia ulinzi nk
 
Back
Top Bottom