and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Muungano ipo kwenye ofisi yake na itakua Sherehe ya mwisho kabla ya kung'atuka. Itashangza asipokuwepoMpango anakwenda...
Pamoja na kwamba anawakilisha kanisa katoliki, sio vibaya Cardinal Rugambwa akawa anatosha kutekeleza wajibu huo kwa niaba ya Taifa letu 🐒Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Hawafai wananuka damu za watu!Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Unataka wakajazwe tena kwenye majinja kama kule kwa Elizabeth?Japo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Shida ipo wapi?Unataka wakajazwe tena kwenye majinja kama kule kwa Elizabeth?
We ni Mjinga kabisa!! Vatican ni nchi, Ina Balozi Tz inatakiwa kuwakilishwa na kiongozi wa seriakali head of state au mwakilishi!!Pamoja na kwamba anawakilisha kanisa katoliki, sio vibaya Cardinal Rugambwa akawa anatosha kutekeleza wajibu huo kwa niaba ya Taifa letu 🐒
changia hoja bila makasiriko wala kuropoka gentleman itapndeza zaidi kwa faida ya wadau wa JF 🐒We ni Mjinga kabisa!! Vatican ni nchi, Ina Balozi Tz inatakiwa kuwakilishwa na kiongozi wa seriakali head of state au mwakilishi!!
Kardinali Rugambwa ana cheo Gani serikalini??
Narrow minded people mnaleta ujinga kwenye serious issues!!
Upumbavu wa vitu usivuovijuachangia hoja bila makasiriko wala kuropoka gentleman itapndeza zaidi kwa faida ya wadau wa JF 🐒
relax gentleman,Naona unafanya upu
Upumbavu wa vitu usivuovijua
Wewe unayeingilia mambo kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume ambalo mambo yake huyaelewi!!relax gentleman,
na uache kuropoka ikiwa point zinekuishia 🐒
Calm down gentleman calm down 🐒Wewe unayeingilia mambo kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume ambalo mambo yake huyaelewi!!
Kama kimyaa,kule hawafanyi siasa za mia Tano mia tano!!
Kule mambo yanafanyika kwa maongozi ya Mungu.
Sawa wewe POPOMA??😂😀
Maongozi ya mungu sio Mungu. Mungu na ushoga wapi na wapi.Wewe unayeingilia mambo kanisa Moja, Takatifu, Katoliki la Mitume ambalo mambo yake huyaelewi!!
Kama kimyaa,kule hawafanyi siasa za mia Tano mia tano!!
Kule mambo yanafanyika kwa maongozi ya Mungu.
Sawa wewe POPOMA??😂😀
nchi yetu haina dini ya nn kutumia hela za kodi kupeleka viongozi wa kiserekal kweye mazish ya kiongoz wa kidini na ambaye sio mtanzania??? kwann tusitumie balozi wa tz qa italy au wa huko vaticanJapo mazishi yanaangukia sikukuu ya Muungano tafadhali tusikose mwakilishi huko Vatican kwenye mazishi ya Mzee wetu Baba Mtakatifu Francis. Mheshimiwa Majaliwa na Mstaafu wanatosha.
Kati ya tawala zilizomwaga damu nyingi duniani, upapa umo.Hawafai wananuka damu za watu!
Samia pia yumo katika Marais mashetani yanayotoa roho za watu!Kati ya tawala zilizomwaga damu nyingi duniani, upapa umo.